Recent content by Criss

  1. Criss

    Msaada: Rim ya pikipiki TVS 150 inauzwa bei gani?

    Hii ni forum mkuu ,jiepushe na tabia ya kuwa mjibuji wa kila uzi itakusaidia sana kuficha upuuzi wako . We unaona kumiliki RIM ya pikipiki ni jambo dogo siyo? Unamiliki nini zaidi?
  2. Criss

    Rombo: Mchungaji ashikiliwa kwa kumbaka muumini

    Kuna mstari umerukwa hapa , wale wataalam wakusoma between the line tutakubaliana kuwa Kuna mstari umerukwa hapa [emoji84][emoji84] 1 Iliwezekanaje family nzima tena wake kwa waume yaani Baba Mama mjomba ,majirani hadi mzee wa ukoo wamuache mgonjwa teeena binti wa kike kwa mchungaji teena...
  3. Criss

    Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

    Tofauti kubwa huwa kwenye miundombinu tu lakini kwa heshima huwa ni yakiwango sawa bila kujali utofauti wa ukubwa wa Taifa lake au Uchumi wake. Kwetu wanatumia barabara zaidi na mbaya zaidi hatuna barabara mbadala tofauti na zile zinazotoa huduma kwa uma , kwa wenzetu hali huwa tofauti kidogo...
  4. Criss

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Wanainji kwa sauti moja tumekubaliana kwa pamoja kuwa mwendazake amekufa kifo cha kawaida kabiiiisa (natural death) na huo mpango wenu hauna tija kwetu . Kama kweli kuna aliyetuondolea hilo JIWE hakika huyo anastahili heshima maalumu kwa kudhihirisha uzalendo wake kwa Taifa. Tuweni tu...
  5. Criss

    Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

    Good analysis Umeeleza vyema Sana na nafurahi kuona ukiwa na mawazo chanya kwa mustakabali wa Taifa letu . Nimefurahi kuona ulichokuwa unakipinga kule ndicho ulichokiungamkono huku ,kule niliamua kusitisha mjadala Baada ya kubaini kuwa wewe ni mkongwe mwenzangu humu ,much kudos jombaa. Wewe...
  6. Criss

    Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

    Hahahaaaa pa1 mkuu #Kalamu1 I'm here to stay .
  7. Criss

    Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

    Kama MWENDAZAKE alikuwa anaifuatilia hadi "SHILAWADU" sembuse Mama iwe ngumu kuingia Jamiiforum ?! Kwa wasiyojua "JAMIIFORUM" ni miongoni mwa vyanzo muhimu sana vya taarifa vinavyotegemewa na serikali . Humu kuna zaidi ya 89.3% ya viongozi wakuu wa serikali . Kwamuhitimisha na bila kujali...
  8. Criss

    Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

    Nilidhani ingelikuwa busara kuzungumzia ubora wa waliyoteuliwa kuliko kuzungumzia habari ya usawa wa kijinsia , kwani wanaenda kuzaa huko ?[emoji12] Hata kilichompa shavu Madam wenda kikawa ni weredi na utulivu wake wa kiakili kiasi cha kuaminika kuwa anaweza akamfaa MzeeBaba na siyo jinsia...
  9. Criss

    Je, Rwanda itakuaje baada ya miaka 50? (What rwanda will be like 50yrs to come?)

    Kwa historian ya Taifa husika tena tukianzia tu mwaka 1959 to 1991 ndoto ya Rwanda kufikia ndoto hiyo ni ndoto za rastafarian [emoji12] Kilichoko Rwanda kwa sasa hakina tofauti na kikichopo kwenye mfuko wa kichaa . Wakati wowote kinaweza kuwa chochote kivyovyote . Licha ya Kagame kujitahidi...
  10. Criss

    Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Yeah although pia tusisahau kuwa tunatofauti ya KI-UMRI kati yetu na wao mkuu wangu , they talk about two hundred years tangu wapate uhuru and we are now almost 60 yrs since then , so tusijisahau pia kulifahamu hilo wakuu .
  11. Criss

    Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Tofauti ya wazi ni kwamba TUNA UTOFAUTI WA POLITICAL STRUCTURE BAINA YETU NA WAO . Wao ili uwe kiongozi nilazima uwe na kitu kichwani CRITICAL THINKING AND HIGHLY RESOANING CAPACITY wakati hapo nyumbani cha muhimu UWE NA K³ ujue KUSOMA ,ujue KUANDIKA and finally ujue KUHESABU na mwisho na...
  12. Criss

    Tanzania tunajidumaza kiufahamu kwa kutoiamini Kenya

    Dah! Mkuu wewe kwa ubishi uko na A yako saaafi hahahahaaaa ,okay fine ,usiku mwema rafiki .
  13. Criss

    Tanzania tunajidumaza kiufahamu kwa kutoiamini Kenya

    Wakuu kunatofauti kati ya kuaminiana na serikali mbili kukaa chini na kukubaliana kuondoa vikwazo kwamishi kama walivyofanya . Kiusalama hakuna serikali dhaifu ya kiwango tunachofikiri wakuu .
Back
Top Bottom