Recent content by criss rwega

  1. C

    Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Umepata alichokuwa anatafuta apige kelele za nn tena!! Ukiona kijana na akili zake anaitetea ccm hadi mshipa unamtoka ujue asante yake ni cheo
  2. C

    Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

    Kila jambo lazima liwe na mwanzilishi mama, naamini hata dini unayoabudu hukuanzisha ww na bado ni muumini, kama una chuki binafsi na chama kale malimau mama
  3. C

    Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

    Naona una chuki binafsi tu, cdm imeshindwa/kushuka kwa lipi? Unatumia vigezo gani kupima ukuaji na uimara wa chama?
  4. C

    CCM wajipanga kumjibu Warioba

    Hakuna wakumjibu labda porojo tu
  5. C

    Warioba; Hasira zako usizitumie kuibomoa nchi

    Hatutafuti maoni ya wana lorya bali watanzania. Wewe unafaidi nini kwenye muungano?
  6. C

    Ole Sendeka usipotoshe watanzania

    Ni ukweli wa wazi zanzibar imejiandaa kwa kila jambo kuwa nchi kamili.
  7. C

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Bado viatu ni vikubwa mmmmnooooooooo kwake
  8. C

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Kwani hiyo ni ishu ya kuzungumza wakat huu? Hili jambo liko mahakamani km ni kweli tutaona.unapata wap muda wa kuleta huu ujinga badala ya kuumiza kichwa namna ya kuboresha uchumi.
  9. C

    Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

    Niyakawaida kwa vile hata ya kawaida lumumba hawawez kuyachukua.
  10. C

    Shambulio la Yona lina maswali mengi... Ni kwanini?

    Wala msipate shida, huo ni mchezo tu lkn tutashinda
  11. C

    Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    Yaani kati ya mambo ya maana yooooooote umeona hili. Hata kabla hawajasema tbc ina nn cha kulinganishwa na mwanga. Ingekuwa itv,star tv au c10 ningekuelewa
  12. C

    Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

    Katabiri uzao wa panya ndo unaliweza
Back
Top Bottom