Line yangu nadhani walipeana watu walipokutana harusini au msibani wakakosea tarakimu au labda nilipewa zilizofufuliwa. .. maana nilibatizwa mama Rwegasira mwaka mzima nina kazi ya kujieleza.
Tatizo natajirisha wenzangu mimi nabaki kuwa tajiri wa roho... Yaani hata bajaji nikiingia akikomaa kusubiri abiria wengine namwambia twende wasipopatikana nitalipa hiyo buku jero yao. Mita 20 tu anaanza kuwaokata hadi anajaza. This is weird!
Miaka ya nyuma kuna mtu alikuwa ananipa lifti kila siku asubuhi ktk teksi yake. Siku ya kwanza niliomba, zinazofuata akawa ananisubiri kabisa na njia hiyo haikuwa na daladala. Sikuelewa sababu. Akaropoka kwa mtu siku moja kuwa "yule dada akiweka kalio tu ktk teksi yangu napata abiria hadi naamua...
Yupo aliyelea mtoto si wake na alijua. Baadaye yule kijana ndio ametusua kisawasawa kimaisha kamjengea nyumba kampa na usafiri. Wale wa kwake ni majanga. Maisha haya...
Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu. Hapa ndipo ulipokosea, conclusion. Ungeeleza tu ya daktari na msimamo wako juu ya hili suala. Mengine waachie.
Asante. Kuna aliye RIP akiwa na nyumba sehemu hakuna aliyejua. Wapangaji wakaishi bure miaka 7. ndugu yake mmoja siku hiyo akaona achambue makaratasi ya marehemu meeengi ili atupe yasiyo na maana ndio anaona tarifa ya hiyo nyumba akafuatilia. Kumbuka zamani hakuna simu za mkononi mtu anafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.