Recent content by Credy chipungahelo

  1. Credy chipungahelo

    Waziri Seleman Jafo kuzindua kampeni ya Watanzania kutopeana mikono

    Wenye imani haba kila kukicha wanabuni kujiami.....TUACHENI TUSHIKANE MIMI SIKUZOEA JAFO HILA NI LAKO.........KUNA MAMA MMOJA HAPA KAZINI petu ALIKUWA ANAKUSALIMIA KWA KUTUMIA KITAMBAA MLANGO ANAFUNGUA KWA KITAMBAA UKIINGIA OFISINI KWAKE UKITOKA TU ANAPIGA AIRFRESH LAKINI LEO YUPO KWA KABULI NA...
  2. Credy chipungahelo

    Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Karibu kwa 0719336538 Usumbufu sitaki ustrabu muhimu
  3. Credy chipungahelo

    Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

    Hayo mapoint uliyoyaandika , kweli mwanamke midomoni mwetu mpo sana na kila kona mnausika
  4. Credy chipungahelo

    Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

    Fuatilia vizuri matokeo uyui Ccm vijiji 14 kati ya 15 Cdm vijiji 1 kati ya 15 Kata 50 ccm Cdm 7 wapi ccm imeshindwa toa na wewe matokeo
  5. Credy chipungahelo

    Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Ktk dunia hii hakuna MTU atakataa kazi iwapo ni mbaya au nzuri ilimladi inaleta kipato na fahida ya wengine .Nikianza na mh James mbatia alikuwa chali hakuna aliye mkumbuka kisiasa jk akamwita na kumpeleka bungeni kumsaidia jukumu la Elimu kweli aliweza japo si kwa % zote na watu walipiga kelele...
  6. Credy chipungahelo

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Pole sana kama mwezio alivificha naona sasa hatakuwa huru baada ya kumgundua
  7. Credy chipungahelo

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Ndg huyu mama Mimi kwangu in bibi sio ukoo Bali aliolewa na babu Dr chipungahelo kihistoria walitengana na yeye hakuona maana kubadili jina na kubakia na jina lake la ndoa hakuna aka ya kupotosha mtu hila tunakumbushana mkoa huu ulivyo na shuluba kwa viongozi na wengine
  8. Credy chipungahelo

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Jifanye uelewi utakwenda nao sawa Dini kila moja anauelewa wake
  9. Credy chipungahelo

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Hahaha mjomba nilipata tabu kipindi hicho nakumbuka ndio nimeanza tu form I pale Tegeta technical school na hats nilipo hamia Kilimanjaro kibohehe kila nikitaja jina kashifa ya kwanza nyie ndio mnashindana na serikali mnamzalau mh Mrema yaaani nikiona kuhusu Makonda na askofu ngwajima sipatiii picha
  10. Credy chipungahelo

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Maana ya DINI in njia au utalatibu Wa kumtafuta Mungu ndio maana kuna mamilioni ya Dini kila mmoja anasema hatasema tunamtafuta Mungu kwa kuamini kwa njia hii
  11. Credy chipungahelo

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Kumjua Mungu kila moja anayo nafasi hiyo lakini kwa babu yangu alikuwa mwuumini Wa Dini lakini so kwa kutubu makosa nikisema hivyo siitaji kukuambia humu Bali njoo fb kwangu kwa jina la Credy Chipungahelo au kwa email yangu Cchipungahelo26 humu tuheshimu mawanzo ya wengine na imani za wengine
Back
Top Bottom