Recent content by CreatureKH

  1. CreatureKH

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Njia tatu ndo vipi mbona kama sijaelewa..!!? Binafsi naomba kujulishwa kuhusu niconnect siipati playstore
  2. CreatureKH

    Jina la ukoo au jina la babu

    Yes, ukabila
  3. CreatureKH

    Jina la ukoo au jina la babu

    Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially Kuna mtu kanambia (mtumishi) nisitumie jina la ukoo kwa mtoto wangu maana linaakisi kabila lake hivyo itakuja kumpa tabu baadae katika harakati zake za kutafta maisha hasa akiamua...
  4. CreatureKH

    Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Kuna muda wakristo wanatamani kua waislam ila basi tu wanakaza wanaogopa watu watawaonaje😂😂 uislam raha hatutungi wala hatuzui... mambo ni kwa ushahidi👌🏽 Ila jamaa wanachuki kwakua wameaminishwa uongo na viongozi wao wa DINI au wazazi wao🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️
  5. CreatureKH

    Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

    Kwenye izo personality nakua naingia ingia sijawa specific😅 by the way kwan zina maana si bc tu internet zinatubadilishia mambo miaka hii Kila kitu ad tugoogle imekuaje cjui
  6. CreatureKH

    Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

    Kumekuchaaaaa 😂 mwanakwetu ad roho mbaya Kwaiyo niongeze E. Roho mbaya!!?🤣
Back
Top Bottom