Recent content by Crazy Frog

  1. Crazy Frog

    Sheria ya kuwakata 15% wadaiwa bodi ya mikopo elimu yasainiwa

    Vyama vya wafanyakazi hawana msaada ni kama mabubu.. Ni bora kujitoa kwenye hivi vyama uchwara ili pesa ya makato ya TUCTA/TUGHE ikaongezee kulipa hiyo 15% ya HESLB
  2. Crazy Frog

    Sheria ya kuwakata 15% wadaiwa bodi ya mikopo elimu yasainiwa

    Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli tayari amekwishasaini mabadiliko ya sheria yanayomtaka mwajiri kukata asilimia 15 ya mshahara wa mwajiriwa ambaye ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kulipa deni lake analodaiwa na Bodi ya Mikopo Mhandisi Stella Manyanya akiwa Kikaangoni...
  3. Crazy Frog

    Waziri Kairuki: Wapo waliokuwa wanalipwa mshahara mil 40, posho mil 30 kwa mwezi

    Mashirika ya Serikali yanayojiendesha yenyewe na kuzalisha faida yangeachwa yafanye maamuzi yake. Huku kuingilia ingilia mtakuja kuua mashirika yawe yanasua sua kama mashirika mengine yaliyo hoi hivi sasa. Mfano huyo mkuu wa NHC mmemuandama lakini mnasahau kalitoa wapi shirika hadi hapo...
  4. Crazy Frog

    Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!

    Mtoa uzi kanywe chai kisha urudi uone ulivyobaka post ya Masanja.. Povu limekutoka utadhani unaandika kitu cha maana kumbe mashudu ya TBL
  5. Crazy Frog

    Posho na marupurupu sasa kudhibitiwa

    "Tabia ya kujenga heshima Bar ilikua inakufurisha watu" We unaendaga bar kunywa au kuangalia wanaojenga heshima.. !? Acha wivu wa kike!
  6. Crazy Frog

    Posho na marupurupu sasa kudhibitiwa

    Hahaha... Kama vp afute na mishahara kabisa.. Tufanye kazi kwa kujitolea
  7. Crazy Frog

    Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Hivi wakuu wa nchi mnajua tunavyosota lakini..!!???????? Maisha magumu hadi napata mawazo ya kuwa "PUNDA".... Na nikiingia kwenye hiyo biashara nitakuja kuuzia watoto wenu wawe mateja.
  8. Crazy Frog

    Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

    Embu meza mate kwanza maana unaongea vitu havieleweki..
  9. Crazy Frog

    Rais Magufuli anategemewa kufungua jengo jipya la bandari One Stop Centre

    Nadhani umechanganya madesa. Kikwete alizindua Majengo ya PSPF sio hili jengo.
  10. Crazy Frog

    Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

    Pateni knowledge kidogo..
  11. Crazy Frog

    Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

    Wabongo mmezoea kubeza kila kitu.. kumiliki luxury bus sio sawa na kumiliki luxury plane.. Hizo ndege wanatumia hadi 1st world countries.. luxury plane utaeza kulipa nauli yake..? Mmeletewa ndege zinazotumia mafuta kidogo angalau na walala hoi tusafishe tongo tongo bado mnaongea..
  12. Crazy Frog

    Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    daahhh!! pole yake huyo jamaa.. Hivi kumiliki bastola itanigharimu shilingi ngapi? "Spendagi ujinga mie.."
  13. Crazy Frog

    Wadaiwa bodi ya mikopo kitanzini. Kuanza kukatwa 15% kutoka kwenye mshahara

    Hii serikali mbona kama ina bifu na watanzania wa hali ya chini..? Kila kukicha kuna janga jipya la kutugandamiza masikini..
  14. Crazy Frog

    Kupatwa kwa jua, ishara ya mwisho wa dunia

    Acheni porojo.. mwisho wa dunia mnaujua nyie?
Back
Top Bottom