Ni ndoto ambayo inakuwa unahisi kukabwa au km unashikiliwa na kitu mwilini mzima kama ume paralyse unashidwa kuongea ni ndoto ambayo mtu akiota lazima ashtuke kiufupi
Ni kweli kabisa huyu jamaa ni mnafiki nakumbuka nyimbo ya vinega 2010 walisema Fa unalalamika sugu amekuita shoga huo ndio ukweli wala usichukulie poa..
Hapo mwnyezi mungu anawasema washrikina ambao utemegemea majini kuwalinda ndio anawapigia mfano kwamba hao viumbe wanavyo tegemea kuwalinda ni dhaifu mfano wa nyumba ya buibui na sio kama ulivyo ichukilia
Mitume ililetwa kufundisha watu wamjue mwenyezi mungu sio kutibu watu km hawa sikuizi wapiga dili wenu wamekuwa matajiri kupitia nyie na bado hamzinduki usingzin kulijua hilo
Unandika utoto daktari atajuaje hii nyumba ina mgojwa ila hao manabii wa mchongo wanajua wagojwa wanapatikana hospital itabidi wawafate km wao ni kweli waponyaji
Hiyo michozo tu hakuna mtu anaweza kufufua mtu isipokuwa mungu peke halafu hawa watu nawashangaa wanasema wanaponya watu badala waende hospital wawasidie watu wapone wasilipe mabili wao kazi kutapeli tu watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.