Recent content by CPA TUTOR

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Hayo ameongea wapi na saa ngapi? Kumbuka Shetani ana watu wengi kuliko Lowassa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    Kumekuwa na idadi ndogo sana kwa Wapiga kura kujitokeza kwenye Uchaguzi kutokana na siku ya Kupiga kura kupangwa Jumapili. Tangia Mwaka jana wapo Wanasiasa akiwepo Deus Kibamba alishauri Serikali kupitia Tume Ya Uchaguzi kupuka kupanga siku ya kupiga kura Jumapili na badala yake kupendekeza...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Urais CCM: Hofu ya uasi yatanda

    Hofu ya nini?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Matokea ya NBAA May 2013 yamebandikwa Mchana huu !!!!!!

    Taarifa zinaonyesha kuwa Matokeo ya NBAA May 2o13 yametoka na yamebandikwa mchana huu !!! Najua humu kuna wadau!!!
  5. C

    JamiiForums Tanzania NECTA waige mfano wa NBAA katika suala la Mitihani !!!!!!!!!!!

    NBAA ni Chombo Cha Serikali na NECTA ni Chombo cha serikali pia!!! Jambo la Kushangaza ni kwamba wakati NBAA na NECTA vikiwa vyombo vya serikali utaona kuwa NBAA wapo makini sana katika utungaji, usahishaji na upangaji wa maksi na grading.Tangia NBAA ianze miaka ya 1970 Bodi hiyo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    Lowassa anatakiwa kuangalia umati huu apime kama agombeee kupitia ccm au akaye nyumbani ??? Maana watu wamechoka kuongozwa na ccm !!!! Mtaji wa lowassa upo makanisani na kwa makusudi ya wenzake ccm imechafua mtaji huo kwa suala la nani achinje !!!! Maaskofu nchini ambao ni mtaji wa lowassa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wadau wa CPA(T) na Audit: Mzee Musasira anaanza kufundisha IFRS!

    Mkuu tunashukuru kwa taarifa hii nzuri
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa Fedha Benk ya Mwingira wa fukuzisha kazi Vigogo!!!!

    Kuhubiri injili hakuhitaji kujitafakari bali kunataka kutafakari neno la Mungu na kukemea dhambi hadharani!!!
Back
Top Bottom