Recent content by Covony

  1. Covony

    Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho 5/09/2015

    Mama Teresa(Mary Teresa) of Calcutta one said "when you walk into darkroom and you find there is darkness in the room you don't have to complain about the darkness, take a candle and right the candle then ask your neighbor to right the candle then the room will be consuming the right" Am...
  2. Covony

    Let's light the candle for future Tanzania

    Mary Teresa of Calcutta (1910-1997) She once said, "when you walk into darkroom and you find there is darkness inside of the room, you don't have to complain about the darkness, what you have to do is to take a candle and light the candle and ask your neighbor to light the candle then soon the...
  3. Covony

    Hongera sana moi kwa ujasilia mali unaoufanya.

    kwa wale waliosoma Tegeta High School na shule za jirani na kuudhuria tuition ya history ya advance kati ya miaka ya 2005-2008, bila shaka mnamkumbuka mwalimu SIMON SIGWA aliyekuwa akifaamika kwa jina la MOI yaani Man of influence, wengi tunamkumbuka kwa umaili wake wakufundisha histori bila...
  4. Covony

    Daaa Ndoto Yangu ya kuwa Mwalimu Mkuu ndo hivo tena ,,,

    Unasema walimu ni watu walofeli na wewe ulikuwa na ndoto zakuwa mwalimu basi pia ulikuwa na ndoto za kufeli pole coz ndicho kilichotokea ukafeli mpaka uwo uwalimu umeukosa.
  5. Covony

    Daaa Ndoto Yangu ya kuwa Mwalimu Mkuu ndo hivo tena ,,,

    Unaomekana ata wewe ulimaliza darasa la saba bila kujua kuandika vizuri coz umeunganisha maneno kama unaandika mchalazo.
  6. Covony

    Watanzania Na umarekani

    Uzi huu umeletwa kwenu kwa isani ya watu wa marekani.
  7. Covony

    Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA

    We got half way to easy way, welcome coz together we are going to make it.
  8. Covony

    Nje ya siasa hawa akina Lema, Wenje, Mnyika, Slaa and co. si watakufa njaa!?

    Dogo kumbuka kuna mafao baada ya kutumikia bunge,pia hatawao wanajua kuna mwisho wa ubunge wao so yawezekana wanazimeki kwajili ya maisha yao ya badae pia wanaweza kuwa wafanyabiashara coz tayari wana uwezo huo,back toyo dogo mwenye fikra fupi zenye upeo mdogo wa kufikiri kuwa mtu kama lema...
  9. Covony

    Zahoro Matelephone akamatwa na dawa za Kulevya nchini Oman

    Nikweli huyu mkuu wa selikari sikivu ya chama cha mapinduzi na familia yake wanahusika coz Kule mbeya kulikuwa na jambazi na muzanaji mkubwa wa madawa alikuwa karibu sana na lizla na dada yake,hata kwenye msiba wa huyo jambazi wakiudhulia.
  10. Covony

    Je ZZK Kavunja Katiba Ya Chadema

    We got half way to easy way {destination}.chadema tumetoka mbali na tunayakaribia mafanikio lakini ushetani ndo unaibuka,kwanini tusiwe na uvumilivu wa kisiasa, kwa nini tusiache uhuchu wa madalaka kwa maslai ya wanzania wote?. Tatizo liko wapi?, Uwongozi wa juu mpaka mnalalamikiwa kiasi hicho.
  11. Covony

    Naonekana sina faida ndani ya CHADEMA, nimeng'oka rasmi kuanzia leo

    Bora umejiengua mapema,unaonekana simtu makini ingawa unataka mabadiliko chanya kwenye chama coz mwanaume wa kweli anapigana mpaka mabadiliko yapatikane na ungeonekana shujaa wa chama. .R.IP
  12. Covony

    Katibu wa Mbunge jimbo la Newala abambwa akiiba mawe ya ujenzi ya mifereji ya barabara.

    Uyu ni mtu mdogo sana miongoni mwa viongozi wezi wa serikali sikivu na makini ya ccm.
  13. Covony

    ajali Mbaya Nshambya Bukoba

    Poleni sana waanga.tuwe makini barabarni.
Back
Top Bottom