Covony
Member
- Jan 3, 2013
- 18
- 1
kwa wale waliosoma Tegeta High School na shule za jirani na kuudhuria tuition ya history ya advance kati ya miaka ya 2005-2008, bila shaka mnamkumbuka mwalimu SIMON SIGWA aliyekuwa akifaamika kwa jina la MOI yaani Man of influence, wengi tunamkumbuka kwa umaili wake wakufundisha histori bila rejea yoyote na kujiamini, pia alikuwa akifanya solving ya history kwa umaili mkubwa,baada ya hapo sikujua alikuwa akijiusisha na nini, lakini miezi ya hivi karibuni MOI ameibuka akiendesha kipindi Eatv kama daktari wa tiba mbadara na kampuni yake ya SIGWA HARBOR CLINIC ambayo inamatawi katika mikoa mingi ya Tanzania bara, badae sigwa harbor clinic ikaendelea kujitangaza kwa kurusha vipindi vyake startv,clause radio na media nyingine nyingi.
Naamini kujiaini kwake na umaili wake umemfikisha hapo alipo sasa.
Binafsi nampongeza sana MOI.
Naamini kujiaini kwake na umaili wake umemfikisha hapo alipo sasa.
Binafsi nampongeza sana MOI.