Recent content by Covid-19

  1. C

    JamiiForums Tanzania LUKU za kidijitali ni matumizi mabaya ya fedha

    Zaidi ya wateja laki moja wamelipia umeme tangu mwaka jana na hawajawekewa hadi sasa kisa hamna vifaa halafu unasikia mtu anakuja na mipango mingine ya upigaji. Hii nchi tumerogwa vibaya
  2. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO haina huruma na maskini kabisa.

    Nan kakwambia nimeenda kuomba msaada Tanesco?
  3. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO haina huruma na maskini kabisa.

    Dah!!
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO haina huruma na maskini kabisa.

    Mnyonge ndio nishanyongwa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kabisa kula chipsi tujuane hapa.

    Wanao ni wa me/ke? Usikute wananunuliwa huko mtaani wanaenda kula chumbani
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

    Hivi Mike Tyson balozi wa ganja Malawi nae bado anaenda msikitini? Kuna mambo ni dalili Secondary za kuelekea kudata
  7. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO haina huruma na maskini kabisa.

    Kuna mambo nchi hii yanatia hasira kupitiliza. Yaani unajibana miaka chungu unapata zako laki 3 unasema ukamwekee mzazi wako umeme walau nae aepuke karaha za giza. Unaenda TANESCO unapewa control number ya kulipia halafu unaambiwa umeme usubiri kwani kuna watu tangu December mwaka jana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Freeman Mbowe inaashiria kitu gani CHADEMA?

    Kuhusu spana hatuna maelekezo mapya.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

    Mganga wa taifa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Mama kazingua sana. Hakika JPM amepitia mengi sana hadi umauti wake
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kadi na namba za NIDA

    Habari ya Jumapili waungwana? Nawezaje kupata kadi ya NIDA kwa sisi ambao tumejiandikisha tangu mwaka 2020 na kwenye ofisi zetu za kata tumeenda lakini hakuna? Msaada pia kama walau ipo namna ya kujua namba ya NIDA maana njia zile za awali hazifanyi kazi na namba zao za simu hazipatikani zote.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

    Toeni ushauri mzuri kwa kijana. Hata mimi nahitaji wawili umri miaka 18-28 wataishi bure hapa Masaki.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Sasa wazawa si lazima wapate wa kuwapelekea hiyo imani? Tuache watu wasikie neno ili wachague pa kuamini. Leo hii waislam wengi wanajazana huko kwa wanaojiita manabii kuokoka na kupata uponyaji
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Mbona wanasemaje uislam unashamiri sana Europe?
Back
Top Bottom