Chama cha Mapinduzi kina hazina kubwa ya viongozi wenye weledi mkubwa linapokuja suala la uchaguzi.
Ushindi wa CCM haunaweza kutegemea figisu za Nape, Makamba na Mwigulu.
Ccm imekamilika sana kimkakati na kimtandao.
Ushindi ni wa wazi mno kwa CCM 2024 na 20
Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!
Chadema ya sasa wanafahamu kabisa...
CCM ilimjenga Nyalandu mpaka hapo alipofikia,kudai eti CCM imepoteza dira na mwelekeo sio kweli.Aliepoteza dira na mwelekeo ni Nyalandu mwenyewe.aende tu akaungane na ndg yake Lowassa kwenye CHADEMA ya Lowassa ili iwafie mkononi
Mr Odinga is absolutely kidding his supporters! Kenyans must be very careful with this hungry Ghost who want to drink blood of innocent citizens . If RAO is not ready for elections , better he keeps quite to pave a way for Kenyans to erect someone whom they want. No one want to see blood shed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.