Recent content by Coutinho10

  1. Coutinho10

    Jamani DIT mbona hawatoi majina?

    Subiri kidogo mkuu watatoa tu maana hata chuo chenyewe wanafungua november
  2. Coutinho10

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Dell latitude ni i5 ila hiyo inspiron ni i7. Je naweza kucheza magame mazuri mazuri kwel hapo kwenye hzo laptops mbili
  3. Coutinho10

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kaka kumbe ni Dell inspiron 14 5000 series intel(R) Core(TM) i7-6500U Kuna mwana anaziuza $300
  4. Coutinho10

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kaka mkwawa nichekie hizi pc Dell latitude intel i5 6200U ikoje na Dell inspiron 1400 series i7 6200u nataka ninunue moja wapo hapo
  5. Coutinho10

    Phone not allowed MM#6

    Wakuu kuna simu hapa sumsung s6 inalaini ya halotel kila ukijaribu kucheck/Kuongeza salio au kupiga simu inaleta ujumbe "Phone not allowed MM#6" tusaidiane wakuu jinsi ya kutatua ili tatizo.
  6. Coutinho10

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Na mimi naomba niunganishwe kwenye hilo group la SAT and FTA whatsapp group 0756802119
  7. Coutinho10

    Hadithi: Judithi Millambo

    Aaaaaaah imeisha au??
  8. Coutinho10

    Jinsi ya kuflash modem ili kuwa universal??

    Naomba msaada jinsi ya kuflash modem na kuifanya iwe universal yani iwe na uwezo wa kusoma line zote za simu
Back
Top Bottom