Recent content by court broker

  1. court broker

    Nyumba kubwa inauzwa Mwanza

    Ina vyumba zaidi ya 8,bei ni milioni mia na arobaini ina eneo la heka moja ipo nyuma ya Ms hotel kona ya Bwiru.tuwasiliane kwa 0788752672
  2. court broker

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Kweli tumetupa nwingozo mzuri, siku hizi kila mtu mjuaji , mwanamke nae anataka kuwa juu zaidi ya mwanaume, hapa kazi tunayo kweli tutaishia " hit and run"
  3. court broker

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Nachopata tabu kukijua ni kwa nini idadi ya vijana wengi hawadumu kwenye ndoa yani siku hizi ndoa ikifikisha mwaka mmoja ni chache mno.
  4. court broker

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Tuache maisha ya kibachelor kwenye ndoa, mambo ya kuishi kama huna mke nyumbani tuyaache.. Unapofunga ndoa ishi na mkeo mambo ya vijiwe acha, kurudi nyumbani saa 6 acha, mpende mkeo mfanye rafiki yako ...
  5. court broker

    Ni nini chanzo cha hali ngumu ya kimaisha kwa sasa?

    Ni kweli vipindi vyote tumevumilia hali ngumu ya maisha ila kwa sasa jamani hali imezidi kuwa ngumu
  6. court broker

    Ni nini chanzo cha hali ngumu ya kimaisha kwa sasa?

    Mh! Kwa hali ilivyo sasa jamani hapana yani leo nimerudi nyumbani sina hata kumi nimetembea kutoka mjini hadi nyumbani kwa miguu namshukuru Mungu nilikuwa na unga ndani nimekoroga uji nimelala kweli hal ni ngumu jamani. Sababu mi nadhani pesa imepungua kwenye mzunguko serikali iangalie na iweze...
  7. court broker

    Mitaa korofi na hatari mikoani

    Ukiwa moshi kuna mtaa wa mashenzini nyuma ya coffee curing kuanzia lang'ata mpaka daraja la bunda bar ni wazee wa kunywa wanzuki bangi na roba za mbao hapo ndo kwenyewe naona Kwa pembeni wameanzisha open university
  8. court broker

    Mitaa korofi na hatari mikoani

    Siku moja msomali mmoja alitekwa njoro ya Pepsi kule Moshi alipiga karate walikimbia na pikipiki wakaiacha
  9. court broker

    Mitaa korofi na hatari mikoani

    Kilimanjaro mitaa kirofi na hatari kiusalama ni Njoro na pasua
  10. court broker

    Nikopeshe Gari na kiasi cha fedha milioni 2 nisahau umasikini wangu

    Faida ninayo ipata nikutokana na mtaji Mdogo na ukosefu wa vitendea Kazi laiti Kama nitapata mtaji mkubwa na Gari ndogo kweli umasikini huu kwangu itabaki historia
  11. court broker

    Nikopeshe Gari na kiasi cha fedha milioni 2 nisahau umasikini wangu

    Kiukweli Biashara ni ushindani na Kwa upande wangu nawaza hii Biashara itanifutia umasikini wangu, Kama nitaiweka wazi hapa kwangu itamaanisha nimeshindwa na nimekata tamaa
  12. court broker

    Nikopeshe Gari na kiasi cha fedha milioni 2 nisahau umasikini wangu

    Kweli umenena wengine wanakatisha tamaa sana hata kufikiria kuwa hakuna mtu atakukopesha bila ushawishi zaidi na kujiridhisha kikamilifu wao wanakazi ya kupinga hoja za watu wengine kweli imeniuma sana
  13. court broker

    Nikopeshe Gari na kiasi cha fedha milioni 2 nisahau umasikini wangu

    Kwa nini uko mbele kukatisha watu tamaa,sijapenda kabisa acha wenye uwezo waje tusipende kukatishana tamaa
  14. court broker

    Nikopeshe Gari na kiasi cha fedha milioni 2 nisahau umasikini wangu

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania mkazi wa mwanza Kwa sasa nafanya Biashara ambayo ina Faida kubwa ila nakabiliwa na matatizo mawili kwanza ni kuwa na mtaji Mdogo na pili ni kutokuwa na Gari ndogo hakika naweza kurejesha mkopo huo ndani ya mwaka mmoja tu kwani hii Biashara inalipa sana. Naombeni...
Back
Top Bottom