Recent content by Country-boy

  1. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: TLS ni mali ya umma, isigeuzwe mali binafsi

    Kwaiyo kumbe TLS ni mali ya umma kama ilivyo TANESCO? hili kwakweli sikulifahamu nashukuru kwa kufahamishwa!
  2. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    ila bado lawama zinawarudia watawala kwasababu ndiwo wanaokubali kusaini mikataba na watu ambao hawana uwezo wa kufanya kazi wanazopewa. tena sidhani kama watawala hawa wanaangalia vizuri terms za mikataba hiyo zinavyowabana na changamoto zake!
  3. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    inasikitisha sana! kwa ukatili huu wa hawa jamaa, Mungu atawajibu tu siku moja wote wanaohusika!
  4. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Wakili feki akamatwa Mahakama Kuu, abainika baada ya kumsalimia Jaji Shikamoo

    Mtukufu jaji ... [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  5. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Kisha Kuhani Mkuu akamtetea Bashite akisema...

    Lumumba 3: 1 - 2 Enyi wananchi ya makinikia ni nani aliyewaroga ... nataka kuwafundisha kwamba vyeti feki wanatumbuliwa wale ambao hawapigani vita dhidi ya madawa ya kulevya [emoji23] [emoji23] [emoji38]
  6. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Naona kama Nape anaelekea muelekeo mbaya

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi na CCM wanahofu na maombi na Alhul badir kama na wao wanamtafuta asiyejulikana? Au asiyejulikana ndie?

    Hi kwani Albadir haiwezi kusomwa kimyakimya?
  8. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Gwajima Kafanya Maombi Siku Ya Juma Pili Kwa Nini Maombi Ya Waislamu Yamezuiliwa??

    Nao kwani lazima watangaze? iyo Albadir si wapige kimya kimya tu!
  9. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma

    ngoja tu tumuachie Mungu bila shaka atakuja kujibu maombi! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Watu Wasiojulikana sidhani kama itakuja itokee iwe tofauti na jina lao "Watu-wasiojulikana" Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Majina ya ajabu JF

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Mbunge Susan Lyimo: Kama kweli hostel za UDSM zimejengwa kwa Mil 500, nitatoa hela zijengwe zingine

    Kama kweli jengo moja linalochukua wanafunzi 390 limejengwa kwa gharama ya 500m basi ilo jengo linaweza kuwa si salama kwa matumizi ya binadam!
  13. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Dar: Wauaji Waliomuua Askari Polisi (OCD) huko Kinyerezi, wakamatwa

    Kila mtu ana haki ya kuwakilishwa...! Na tatizo au uzuri ni kwamba mbele ya sheria watu wote wanatakiwa wapewe treatment sawa bila kuangalia huyu ni mtuhumiwa ... mpaka mahakama itakapompata na hatia ...!
  14. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Dar: Wauaji Waliomuua Askari Polisi (OCD) huko Kinyerezi, wakamatwa

    Sheria zetu haziruhusu utaratibu huwo! Mahakama ndio chombo pekee kinachotakiwa kutoa hukumu; ingawa saa zingine kuna vyombo vingine vinaamua kuhukumu, kitu ambacho ni kinyume cha sheria!
  15. Country-boy

    JamiiForums Tanzania Dar: Wauaji Waliomuua Askari Polisi (OCD) huko Kinyerezi, wakamatwa

    Sometimes, but not always!
Back
Top Bottom