Recent content by Cotosh

  1. C

    Kuchangia pessa za interviewer

    HELOW, YOU HAVE BEEN SHORTLISTED FOR AN INTERVIEW BY RIFA CO.LTD - SEE YOUR EMAIL FOR MORE DETAILS.
  2. C

    Kuchangia pessa za interviewer

    Guys,namie nimetumiwa SMS saivi na hao rifa co.Ltd. Hakuna aliyeonana nao au aliyepigwa?
  3. C

    Makampuni ya kimataifa yafikiria kuondoa uwekezaji wake Tanzania kutokana na kodi kuwa juu

    Hicho kikombe tunakinywa maana hatuna jinsi...ndo mwanzo wa namba!!!
  4. C

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Hii namba imekuwa Kali kuisoma ila uzuri tunaisoma wote!
  5. C

    Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Aisome namba tu...wangepiga mnada hata leo
  6. C

    Ajali Mbaya ya Basi la Best Line Linalofanya safari kati ya Mbeya Na Mwanza yatokea Mbeya Leo

    Poleni sana ndugu waliohusika .Best line hazifai kuwa barabarani.Yamechoka sana
  7. C

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Usipopata ndo hauendi chuo au vipi, coz I seem not to understand!
  8. C

    Nafasi za kazi

    Bidhaa aina gani,we can even be customers
  9. C

    Wanawake 8,000 singles waandamana kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe!

    I'm looking for a visa,I join dem in Nigeria oooh.....hawa hamna utapeli kibao
  10. C

    Tamko la Pamoja kati ya vyama vya wafanyakazi na Asasi za Kiraia kuhusu Kuzuiwa Fao la Kujitoa

    Ukifanya kazi kwa Mwaka ,INA maana hupati chochote... Huu ni unyanyasaji na huu imekuwa mradi wa serikali wa kupata hela
  11. C

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Kama umechangia miezi 12,huna chako make wanasema miezi 18
  12. C

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Wabunge watakuwa na ubia na ssra ili watupige hela baada ya kutumbuliwa,I was there yesterday,wakaniambia hadi miezi sita...seriously tunaibiwa mchana kweupe.
Back
Top Bottom