Recent content by costercoster

  1. C

    Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

    Dah huwenda Musiba yupo sahihi, NSSF pesa zilichotwa sana mpaka sasa inapumulia mashine
  2. C

    Mzee Mkapa alimsaidiaje Rais Magufuli kuwa hapo alipo?

    Mkapa alifanikiwa kwasababu Lowasa hakutakiwa na Kikwete pia, ila sio kwasababu eti mkapa hakumtaka Lowasa, pia kumbuka mvutano wa BM na EL ukampa nafasi JPM kupenya, ila kumbuka pia kupitishwa kwa JPM bado ulikua ushindi kwa Lowasa kwa maana JPM ni kijana wa EL ni watu ambao walikua wanaelewana...
  3. C

    Mkuu Wa Wilaya Avutana Mashati na Walinzi Wa Night Club

    Hii ajabu sana Yani mkuu wa wilaya ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya badala ya kuwa mfano wa kuigwa katika jamii yeye anakua mwanzisha vurugu? kwani hata angelipa na kuwalipia hao watu wake kulikuwa na shida gani? kingilio chenyewe elfu 10 kama disco toto tu, alafu...
  4. C

    Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    TISS ya enzi za nyerere haitawahi kutokea, ilikuwa ni TISS ya kizalendo na waledi wa hali ya juu, sio TISS wa sasa ambao anataka kutumia kofia ya TISS kupata favor sehemu, TISS ya nyerere iliundwa na misingi ya uzalendo na weledi wa hali ya juu sana.
  5. C

    Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Hata kama kamtaja kwani kuna shida gani? sawa TISS ni siri lakini sio kwa kiwango hicho yaani watu wanachukilia kwamba idara ya usalama wa taifa ni siri sana kiasi kwamba watumishi wake hawawezi kutajwa na mkuu wa nchi, sio kwa kiwango hicho , hao maofisa tu wa CIA M16, KGB, na Mossad...
  6. C

    Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Hata kama kamtaja kwani kuna shida gani? sawa TISS ni siri lakini sio kwa kiwango hicho yaani watu wanachukilia kwamba idara ya usalama wa taifa ni siri sana kiasi kwamba watumishi wake hawawezi kutajwa na mkuu wa nchi, sio kwa kiwango hicho , hao maofisa tu wa CIA M16, KGB, na Mossad...
  7. C

    Dkt. Bashiru amzuia Juma Nkamia kuendeleza mjadala wa kuongeza miaka ya Rais kukaa madarakani kuwa 7

    Unataka kusema sample size ya Research yake ni watu Bilion 6? hahahaha dah hii ni hatari
  8. C

    Dkt. Bashiru amzuia Juma Nkamia kuendeleza mjadala wa kuongeza miaka ya Rais kukaa madarakani kuwa 7

    Usilingamnshe PhD ya lipumba na taaluma ya huyo jamaa, kwanza pitia na uone vyuo ambaavyo prof Lpumba alip Vipi Bachelor alisomea nini? na wapi na alihitimu lini?
  9. C

    Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

    Hakuna cha msuguano na USA wala nini,nadhani pana mambo madogo madogo tu ya kurekebisha, endapo msuguano ungefika to that extent kwamba unahatarisha maslahi na usalama wa marekani na rafiki zake, nadhani USA wasingesita kuvunja mahusiano ya kibalozi na kumrudisha nyumbani balozi wake...
  10. C

    Lowassa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu

    Hakuna kitu kabaya kama kujaribu kumpindua Magufuli kwa njia yeyote ile, iwe ndani ya chama au nje ya chama, hayo unayosema mleta mada JPM ameshayafanya hypothesis zote na kupata solution zake, na kwa taarifa yako tu anajua nani rafiki wa kweli na nani ni mnafiki, na kwenye upande wa...
  11. C

    Maalim Seif Sharif Hamad atangaza kuihama CUF na kujiunga na ACT-Wazalendo

    Ila CHAUMA kingemfaa saana Seif, yaani sipati picha kwenye kampeni 2020 huku Zipunda mzee wa kumwagilia mashamba kwa helcopter huku seif
  12. C

    Rais Magufuli, karibu utumbue UDOM, kuna watumishi wanakwamisha malipo ya wanufaika wa mkopo kutoka HESLB

    Huo mbona ni mchezo wa siku nyingi sana hapo UDOM, pesa wanazi fix Bank then wanapata cha juu, lakini sio kila swala mpaka JPM aingilie si kuna waziri wa Elimu kwani halioni hili? UDOM pameoza tangu zamani, . Nakumbuka mwaka 2010 kuna wanafunzi wa kozi moja ya PPM wanafunzi wapatao 220 kila...
  13. C

    Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Vipi kamanda wa anga ameiona hiyo?
Back
Top Bottom