Recent content by costadiego

  1. costadiego

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Yule mgonja sangu secondary alikuwa anajua sana Geography
  2. costadiego

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Yule Kenny na Andy kwanza nahisi ni majina feki wale paka
  3. costadiego

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Nina akili timamu
  4. costadiego

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Kuwa muungwana
  5. costadiego

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Sijakuelewa
  6. costadiego

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Uko sahihi kabisa mkuu .information gap na lack of emotional control
  7. costadiego

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Kuna wakati pamoja na maarifa mapana ya mambo ya uchumi na shahada ya uchumi unaweza kuingizwa mnini na vijana wa IT.Safari ilianza Kwa jamaa yangu Yuko njombe kunitumia list ya wanyama na bei zao uku akinishawishi kuwa yeye anapata laki na ishirini Kila siku sikuamin akanitumia miamala...
  8. costadiego

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Huku Moshi mtu ana bucha, dukan na shamba plus mifugo na Yuko tasaf
  9. costadiego

    JamiiForums Tanzania Ni kipi hujawahi kuona?

    Njoo simanjiro wako wote Hadi mbilikino na albino
  10. costadiego

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanyakyusa na Wasafwa hawapikiki chungu kimoja?

    Ulikuwa msafwa wa utengule
  11. costadiego

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Nako cyo salama anaweza lawitiwa na shee
  12. costadiego

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu za necta

    Kutokutoa uchumbuzi wa matokeo kiushindani ni namna nyingine ya kuua shule ya umma maana sehemu kubwa shule binafsi zinaleta Chachu ya kuongeza tija kwenye shule za serikali.
  13. costadiego

    JamiiForums Tanzania Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Acha kupoteza muda wako Kwa mambo ya kijinga nje ya ndoa ni wapi huko
  14. costadiego

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Kwa ww unaona utapata kitu kwenye ndoa funga ila kwakweli hakuna Cha maana kwenye ndoa zaidi ya migogoro ilisiyoisha nakusumbua watu.
  15. costadiego

    JamiiForums Tanzania Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Kuna kamfumo Fulani kuwasema walimu vibaya Kwa njia ya kutafuta self actualization
Back
Top Bottom