Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,247
Kwani nilifungwa? 😳🤣🤣🤣🤣Umefunguliwa????
Kwani nilifungwa? 😳🤣🤣🤣🤣Umefunguliwa????
Malawi Zambia huko Nimefika mi nataka ughaibuniSi wanasemaga ukiwa mbeya unaona malawi![]()
🤣🤣🤣Si ulipigwa block Kwa sababu ya kelele zako hizoKwani nilifungwa? 😳
Mi nilikuwa nae JKT Oljoro masai kiwete.ni kitu gani ambacho hujawahi ona mwanajamii forum tangu uzaliwa mpaka kifika hapo ulipo......?
binafsi ni masai kiwete....View attachment 2537807
natungaje sasani kweli ama umetunga tyuu mdau?
Acha basi zako. Mimi sijui sababu kwanini nilikuwa nikitaka kuingia inanigomea. Walisema nimepiga kelele?🤣🤣🤣Si ulipigwa block Kwa sababu ya kelele zako hizo
🤣🤣🤣🤣🤣 Banning ya nguvu unaandikaandika vikorokochoAcha basi zako. Mimi sijui sababu kwanini nilikuwa nikitaka kuingia inanigomea. Walisema nimepiga kelele?
Leo hii wewe ndio wakunisema hivyo?🤣🤣🤣🤣🤣 Banning ya nguvu unaandikaandika vikorokocho
Mnavaa shuka tatu ila bado makalio yapo waziKwamba tunavaa kama wabusu jiwe
Kweli. Tuliokaa Oloiborsoit tunalijua hilo.ni kweli ama umetunga tyuu mdau?
ni kweli ama umetunga tyuu mdau?
🤣🤣🤣 😉Leo hii wewe ndio wakunisema hivyo?