Recent content by Costa Kalanje

  1. Costa Kalanje

    Aura Mall, Dar es salaam

  2. Costa Kalanje

    Naombwa kujuzwa kuhusu hili...

    Degree za kada ya Afya zitolewazo kwa hapa Tanzania ni pamoja na 1.Degree ya Udaktari 2.Degree ya Uuguzi/Ukunga (Zinatofautishwa siku hizi) 3.Degree ya Famasia 4.Degree ya Udaktari wa Kinywa na meno 5.Degree ya Sayansi ya maabara 6.Degree ya mionzi Udahili katika degrees tajwa hapo juu...
  3. Costa Kalanje

    Msaada: Ninakwa na matone ya damu kipindi cha ujauzito

    Kutoka kwa Damu ukeni kipindi cha Ujauzito yaweza kua moja kati ya dalili hatarishi katika kipindi hicho hivyo unapaswa kuhudhuria Clinic haraka iwezekanavyo pia zingatia mahudhurio yako ya Clinic bila kukosa kama tarehe zako zinavyoeleza. Dalili hatarishi zinajumuisha na: 1.Kukosa nguvu...
  4. Costa Kalanje

    Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Muhimu kufahamu hali yako ya Presha(BP) kabla ya kutumia dawa jamii ya Viagra kwani zina tabia ya kushusha kwa kiwango kinachowaza kua hatarishi kwa Afya yako!
  5. Costa Kalanje

    Utata juu ya mwanaJF Ontario

    Kapate japo ABC hapa
Back
Top Bottom