Recent content by cosmasmpwage

  1. C

    JamiiForums Tanzania Medical laboratory

    Mimi ni kijana wa miaka 22,nimehitimu mafunzo ya medical laboratory kwa ngazi ya attendant (mwaka mmoja) hvyo natafuta kazi,naomben msaada wenu wana jamvi natanguliza shukrani zangu! Kwa mawasiliano zaidi 0766846232
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    Hazina madhara,we komaa tu hapo!
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutogegeda kwa muda mrefu,nin madhara yake

    mmh,wengne wananiweka njia panda mbna?
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutogegeda kwa muda mrefu,nin madhara yake

    Asante sana bradha,mpaka nimekutaman uwe kaka yangu ghafla kwa mawazo zaidya ngono. ila kuna mateso kidogo ya mwili. ni kama kuwa jela; kufa haufi, ila kuna kuteseka fulani hivi. mungu aliumba hicho kifaa kitumike na kutumiwa. ikiwa vinginevyo panakuwa na mateso. ushauri wangu ni huu: fanya...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukimpa shoga upenyo kwa mwenzi wako, itakula kwako...!

    Mmmmh,nlposoma tu title nkaelewa kuwa ni wale wanaotumia tigo kwa matmiz yasiyo halali,kumbe nilielewa vbaya
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutogegeda kwa muda mrefu,nin madhara yake

    Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ushauri wa kimawazo jamani

  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki

    m too nipo arleady,ujasema upo wapi lakn
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ushauri wa kimawazo jamani

    nina mpenzi wa kikeananipenda nami ninampenda, tatizo lililopo ni kwamba yeye ni mwislam, na mm nimkristu, cha zaid ni kwamba nimeishika sana dini na yeye vivyo hivyo, nimejaribu kumshawishi abadili dini lakin ansema kuwa hayupo tayari kabisa, kumpenda nampenda na kumwacha siwez je nifanyaje...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Uume wangu huwa haulali baada ya tendo la ndoa msaada plz

    duh mpaka 3 afu hailali basi safi sana komaa bradha
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend seriously

  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tufanye mapenzi kabla ya ndoa

    uamuzi uliochukua ni mzuri but angalia sna asije akatoka nje kukidhi haja yake jambo ambalo litakuwa ni hatari katika uhusiano wenu!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tumbo halijarudia hali ya kawaida baada ya kujifungua

    pole kwa upande wangu cna msaada zaid ya kuwapen pole!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    pole sana, but nakushauri kuwa usidili sana na hzo chunusi cz zina kipindi chake zen zenyewe zitatoweka, we tumia mafuta ya mgando yanatosha!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hivi vipele dawa siijui msaada wenu!

    mdogo wangu vilipona bila kutumia dawa, sasa mim vinanishangaza mpaka leo kutoka mwezi wa nne!
Back
Top Bottom