Recent content by Cosmas.olomi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Nyamongo. Vijana Hawataki Kusikia Habari za Mbowe

    jamani kila dili la kuvuruga UKAWA linashindwa hii ni dalili njema ccm kuondoka madarakani .
  2. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbele: Slaa alisema CCM ni choo kichafu

    Tunahitaji mabadiliko ya kuongozwa na chama kingine miaka 50 inawatosha sana .
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tofauti gani tukiwa na baraza la mawaziri na lisipokuwapo?

    Tofauti ipo ila kwa baraza lilopita ni kama 50 kwa 50 ,sababu Kuna bahadhi ya mawaziri kazi zao zinaonekana waziwazi kuwa zina manufaa kwa jamii na kuna mawaziri wako kimaslahi zaidi ambao wasingekuwepo nadhani taifa lingeokoa pesa ambazo zimefisadiwa na hao mawaziri.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba?

    Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba na serikari ikamtambua kama mtu anayechangia kujulikana kwa nchi yetu hii changa kimaendeleo?
Back
Top Bottom