Recent content by Cos101

  1. Cos101

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na U.T.I

    Hiyo powercef (ceftriaxone) ni antibiotics pia.
  2. Cos101

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  3. Cos101

    JamiiForums Tanzania Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

    Guys muwe makini. Huyu Ugumu wangu amenighilibu na kunitapeli pesa. Nachelea kusema hafanyi kazi huko kwenye idara za usalama kama anavyojinasibu. Nimeweka picha yake na mpitie hiyo thread hapo chini mjue kilichotokea. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1973294/
  4. Cos101

    JamiiForums Tanzania Chadema walianza na Mungu na wanamaliza na Mungu

    Pita kwenye hii thread mkuu. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1973294/
  5. Cos101

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mdude Nyagali hatma ni leo

    Wakuu, Ugumu wangu ni janja janja, si mtu salama kufanya nae jambo llolote like linalohusu pesa. Pitieni hiyo thread hapo chini mjionee. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1973294/ sambulugu Iboya2021 secret file Ushindi victory Patrick Girigo WALOLA VUNZYA SAGAI GALGANO wakaliwetu...
  6. Cos101

    JamiiForums Tanzania Magari ya mafuta yaliyowaka moto Kigamboni. Laana ya dhuluma ilihusika?

    Mkuu mshana. Can I have an access to chat you privately please.
  7. Cos101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Hata hivyo ulivumilia sana. Una moyo. Mungu aendelee kuitunza familia yako mpya.
  8. Cos101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Pole mkuu. Kikanuni za kiroho kulingana na biblia agano la ndoa yenu tayari limeshavunjika baada ya aliekuwa mkeo kuzini. Taasisi zetu za kiimani zimeweka utaratibu wa kutovunja ndoa ili kuepusha madhara ambayo hutokea na kuathiri sana wahusika na watoto plus kuwafanya watu wawe atleast na hofu...
  9. Cos101

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Usifanye hivyo mkuu. Si jambo jema. Hata kama alikuambukiza alifanya akiwa anajua wewe usifanye hivyo kwa wengine. Life is a precious gift, usibebeshe wengine huo mzigo kwa kudhamiria.
  10. Cos101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Aisee. Pole sana rafiki.
  11. Cos101

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaelewa kwanini watu hufikia hatua ya kujitoa uhai

    Facing life head on. Kuchoka sometimes kupo, you find ways to rejuvenate and keep moving.
  12. Cos101

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaelewa kwanini watu hufikia hatua ya kujitoa uhai

    Asante ndugu. Nyakati ngumu ni kipindi kizuri sana kujua aina ya watu ulio nao.
  13. Cos101

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaelewa kwanini watu hufikia hatua ya kujitoa uhai

    Mungu atutie nguvu. Tutavuka.
  14. Cos101

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaelewa kwanini watu hufikia hatua ya kujitoa uhai

    Thanks brother
Back
Top Bottom