Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

Mkuu hongera Sana na pole Sana, maana mapito yako Ni mazito Sana!!

Kuhusu mahusiano naomba jaribu kuweka quality za mke kwako,
Anatoka wapi, wa kabila gani? Labda elimu yake, kazi n.k
Fatilia kupitia hizo category, huku ukumshirikisha Mungu,
Naamini utapata sahihi kabisa
Ameen, nitalifanyia kazi mkuu naamini ipo siku atajibu
 
Mkuu honger Sana na pia pole kwa changamoto za mausiano hV bado una power ya kumuingiza mtu kazini mnk nimekwama mkuu nisaidie nisame kazini
 
Guys muwe makini.

Huyu Ugumu wangu amenighilibu na kunitapeli pesa. Nachelea kusema hafanyi kazi huko kwenye idara za usalama kama anavyojinasibu.

Nimeweka picha yake na mpitie hiyo thread hapo chini mjue kilichotokea.

IMG_20220418_013113_441.jpg
 
Guys muwe makini.

Huyu Ugumu wangu amenighilibu na kunitapeli pesa. Nachelea kusema hafanyi kazi huko kwenye idara za usalama kama anavyojinasibu.

Nimeweka picha yake na mpitie hiyo thread hapo chini mjue kilichotokea.

View attachment 2196279
Tapeli hili ..asakwe popote alipo afungwe jiwe shingoni atupwe baharini
 
Unfortunately, huu uzi nimeuona wakati ambao mda umeenda. Naamini Mungu alishakupa mwenza wa maisha. Otherwise, tungeweza kushauriana.

Mungu azidi kukusimamia mkuu
 
Back
Top Bottom