Recent content by cos p

  1. C

    JamiiForums Tanzania Urais UKAWA wawagonganisha NCCR Mageuzi na CHADEMA

    uko sawa kabisa..hii ndo pointi ya maana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apewe tuzo ya rais bora katika ukanda wa maziwa makuu

    mpuuzi wewe
  3. C

    JamiiForums Tanzania CV ya Marcossy Albanie, mgombea Ubunge jimbo la Morogoro Mjini CHADEMA

    kweli jamaa kahigi hakuna alichokfanya
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    lusinde hana akili..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla afunika Bungeni

    hana lolote..wabunge wa ccm wanatafuta kujiosha wala hawatushitui wao wasubr hukumu yao.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

    ukawa tumaini langu...kila la kheri kamanda wangu mbowe..MUNGU AWAPE NGUVU
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli

    sitta, wasira na pinda wote hawafai tena kama pinda ndo box kabisa..kwa ufupi ccm imeshatuchosha hatuihitaji tena.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mikutano ya hadhara ya wabunge Lema na Kafulila hii hapa!

    kahama mgodi wa bulyanhulu kila alihamis zinaondoka kontena 20 za mchanga wa dhahabu na magari hayo yapoanza kuondoka asubuh yanatibua vumbi kwa wananchi kwanzia kakola hadi manzese kahama..huwa najiuliza huu mchanga unachukuliwa, na nasikia kule unakopelekwa kuna watu zaidi ya 3000...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Madereva wasitisha mgomo: Kero zao kutatuliwa ndani ya siku 7

    wapuuzi n serikali yako..
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ishara ya Vidole viwili ni sababu ya Manny Pacquiao Kupoteza pambano lake dhidi ya Mayweather

    mpumbavu wewe
  11. C

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Nani azungumze sasa kama mabwege wote wa serikali wamekaa kimya, hv ukiwa kama mtetezi wa wananchi ukakuta sehem kuna tatizo hutokwenda hata kuwasikiliza, acha usenge wewe mwambie mkeo aje sasa azungumze.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    hakuna cha mchezo mchafu, hawa ndio wawakilishi wa wanyonge kama hadi mda huu hakuna kiongozi wa juu aliekuja kuzungumza nasi kwann mbowe asije..acha mawazo potofu wewe
  13. C

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    ndo tujifunze..hi ndio serikali makini
  14. C

    JamiiForums Tanzania DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    hi ndo tz bwana..viongoz wapo tu wanaliangalia hili watanzania tubadrken jaman, hakuna haja ya kulaumu ss ndio tunaowaweka viongoz wapumbavu kama hawa madarakani.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mtihani kwa Msaka Uraisi- Pinda!

    pinda hana maamuz kabisa, eti leo tumpe nchi? asahau kabsa hawez kuongoza nchi
Back
Top Bottom