Kama kuna jambo la kusikitisha ni hili la kuingiamwaka mpya na gizanene,ukimwambia Ngeleja anauambia hawezi kujiuzuru kwatatizo kama hili,you guy are you serious?
:target:
:whoo:kilio changu ni kwenye hili swala la dowans mbona hajagusia kuna nini kama sio na yeye kuwa mhusika,au ndon yale aliyoyasema Hosea kwa wakubwa kwamba anawalinda mafisadi
Hiz ni habari njema hasa kwa chadema nadhani tumeongeza Jembe baada ya yale mengine kama karagwe kufanyiwa mizengwe,hongera pia kwa waliojikomboa kutoka kwa MAFARAO Wa hii nchi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.