Recent content by Corie

  1. C

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Kivipi? Toa ufafanuzi Fikiri kabla ya kusema. Usiwe bendera hufauata upepo. Jifunze kufikiri na kudadavua mambo kwa akili yako na si kwa akili ya kukopi na kupesti wasemayo wenzio.
  2. C

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Haswaaaaaaa tatizo wanaojua SIASA wamekaa pembeni. Ngoja waicheze ngoma ya upinzani.
  3. C

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Haswaaaaaaa tatizo wanaojua SIASA wamekaa pembeni. Ngoja waicheze ngoma ya upinzani.
  4. C

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Mtu aishie kutwa kumtafuta mchawi Nani, daima anakuwa hana maendeleo.
  5. C

    Je, kuna unafuu wa maisha? Sema Ndiyo au Hapana

    Anashindwa kukuambia waziwazi kuwa anakupenda. Hahahahaaaaa
  6. C

    Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    No n sense. Hivi umeshajatibu kufanya utafiti walimu wenye maadili ya UALIMU wanatoka wapi? Vyuo vikuu vinapika walimu bora wenye maadili ya ualimu au hutoa walimu wenye content kichwani lakini maadili hakuna. NA NDIO MAANA UNASHUHUDIA MAADILI KUPUNGA YA UALIMU
  7. C

    Lema akipona katika hili abadili mbinu zake katika siasa

    Hahahahahaaaaaaa unachekesha. CCM ndio itathimin.
  8. C

    Lema akipona katika hili abadili mbinu zake katika siasa

    hahahaaaaaaaaa umechemshaaaaaaaaaaaa jimbo la Lema mwanzo mwisho
  9. C

    Kumgharamia mwanamke ni kipaji na sio kila mtu anacho

    mmmmmm, makubwa mna mambo nyinyi. Unafikiri kuhonga ndio kumpata mtu wa kuishi naye??? Daima kuhonga ni ku buytime tu ili asikukimbie. Kwanza mke utamjua tu hatakuomba omba hela, atakushauri maendelo, kama wewe ni mtumbuaji yaani mpenda starehe atakushauri kuacha na kufanya maendeleo. Lakini...
  10. C

    Nani analipia hizi kesi za akina Lema?

    Acha bias ukitaka usitukanwe. Angalia na madudu ya upande wa pili
  11. C

    Nani analipia hizi kesi za akina Lema?

    Ukitaka kupata jibu kuwa zinalipwa na nani kwa nini usiulize gharama za kuwasafirisha watu hawa usiku wa manane kama ile ya Tundi Lissu inalipwa na nani? Je, gharama na jeuri ya kuwaweka watu mahabusu bila kuwapeleka mahakamani wanaipata wapi? Je mafuta mengi yanayotumika kuwavizia na kuwakamata...
Back
Top Bottom