Recent content by Core i9 Brain

  1. Core i9 Brain

    Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

    Aisee!!! Hiyo Jezi ya njano kama vile amevaa apron ya kupikia.
  2. Core i9 Brain

    Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Kabila sio kigezo cha kutotimiza majukumu yake kama mwanaume.
  3. Core i9 Brain

    Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Kabila sio kigezo cha kutotimiza majukumu yako kama mwanaume.
  4. Core i9 Brain

    Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Kulingana na mimi kuwa first born au last born, hakuna uhusiano na jinsi utakavyobehave katika mahusiano, labda malezi ua mtu anapotokea ndio inaweza kuchangia. MALEZI na sio nafasi ya kuzaliwa.
  5. Core i9 Brain

    Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Ooh!!! Pole sana jamani kwa changamoto unayopitia. Najua inaumiza sana hisia zako mpendwa, na ni vizuri kwamba umeamua kutafuta ushauri ili kuweka mahusiano yako sawa. Kwanza nikupongeze kwa ujasiri wako wa kufunguka ili kuona jinsi gani watu watakushauri, na mimi naomba niwe miongoni mwa watu...
  6. Core i9 Brain

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Ni rahisi kwa mtu anayeishi Arusha kuujua Mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara kwa sababu kadhaa. Kwanza, Arusha na Kilimanjaro ni vituo vikuu vya utalii nchini, hivyo kuna mwingiliano mkubwa wa watu kati ya mikoa hii kutokana na Mlima Kilimanjaro na vivutio vingine vinavyoleta watalii na...
  7. Core i9 Brain

  8. Core i9 Brain

    TEC wafutiwe usajili

    Ni vigumu kwa serikali kufungia Baraza la TEC (Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki Tanzania) kwa sababu lipo chini ya Kanisa Katoliki na kila mtu anajua ushawishi mkubwa wa kanisa hili duniani chini ya kiongozi wake mkuu Papa, ambaye hata mataifa makubwa kama Marekani hutambua nguvu yake ya...
Back
Top Bottom