Inategemea sana. Mimi ni product ya ndoa ya wake wawili mamangu aliolewa kama mjane mke wa pili akiwa na watoto watatu kabla ndio nikapatikana mimi. Tuliishi pamoja na mke mkubwa ambae alikua na watoto 5 tayari. Nililelewa na wamama wawili kwenye nyumba moja vizuri kabisa.
Nimesikitika sana,huyu bibie alikua na watoto wanne ila akaona bora ajifie na wanae sababu aliona dunia haina nafasi tena kwao. Katelekezwa kihisia zaidi kwa mtu aliyetegemea atakua ngome yake.. umemzalisha watoto wanne lakini bafo unahaha kiholela.
Hii ni unyanyasaji wa hali ya juu. Wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.