Recent content by copernicucci98

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yeah. Siyo rahisi kung'amua. Japo hujataja airline lkn zinazotoa koro-show ni mbili. Ni wale wale tunaowafahamu. Ngoja nichukue mbinu zako.
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unavyojaribu kuipeleka zamani. Hizi code tunazifungua. Hii ni ya week hizi hizi, and kwa vile airhostess wapo wachache, ni almost tunawafahamu wote kwa frequent fliers. Hongera kiongozi.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ulimpa bei gani? Tujue bei elekezi ya airhostess
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

    Sugua kyuma mzee acha woga, sugua vyuma hivyo
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mtoa simulizi ni muhenga wa 63
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Recycling - - Kuna vitu viwili 1. Jealous 2. Instinct story yako inaonesha wewe una #1, of which ni mbaya. Siku ukiwa na #2 nitakushauri kimbia kabisa cz don't ignore your instincts. Huwa zina ukweli 100%. Lkn, kile kipochi manyoya hakieleweki - - Ukute kinapondwapondwa na wengine hapo hapo...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Maisha ya mapenzi ujinga sana. Wakati kuna mtu anaitafuta hiyo sababu ya kukuta msg za hivyo alianzishe --
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    Mtu wa hivi hata kuweka akiba ya uzeeni haitowezekana. Akishastaafu anaanza kuhangaika kuomba hela ya kula. Kimsingi atapumzika kaburini.
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uandishi mzuri, aya zimepangika. Siyo wale wengine wanaandika utafikiri kesho inaishia leo.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Kb you mean Kibaha? Huyu itakuwa Kibaha 2004-2006
  11. C

    JamiiForums Tanzania Change Makers2023: Wanawake wang'ara. Dkt Samia Suluhu, Dkt Mwinyi na Ruth Zaipuna wa NMB vinara. Melo wa JF, Mbowe na Zitto wajitokeza

    Kwa mfumuko wa bei unaoendelea, kaka Mwigulu Nchemba amefanya mabadiliko yepi?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Change Makers2023: Wanawake wang'ara. Dkt Samia Suluhu, Dkt Mwinyi na Ruth Zaipuna wa NMB vinara. Melo wa JF, Mbowe na Zitto wajitokeza

    Sector ya afya nawaona Ummy Mwalimu, Prof Janabi, Dr. George Mgomella, Brenda Msangi ---
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Masasi . Wenyeji wa Masasi " nipokeeni"

    Spesifikesheni za loji kali kwa Newala ni zipi?
Back
Top Bottom