Recent content by CONVERGENT LIMIT

  1. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya biashara epuka kuomba ushauri toka kwa watu wanaokufahamu

    Tumia akili tu kwny kuomba mtu ushauri nn Cha kufanya utakuja kunishukuru Ila ukiwa mkurupukaji utaishia kupewa majibu sio sahihi and fata mentors na sio advisor
  2. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Komaa na wazo lako usibabaike na mawazo ya wengine, utafika tu

    Uvumilivu na kuaminii katika kile unachokifanya kwny biashara ni Jambo kubwa sana.
  3. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    Hapo hata gharama ya kununua fuel dispenser maarufu kama pampu hujafikia
  4. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji fuel dispenser na spear zake tukutane hapa

    Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum. KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye hobi ya kufanya biashara ya mafuta. Fuel dispenser zetu ni: Type: Tokheim changlong Flow rate...
  5. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu biashara ya Aluminium, Glass na Steel

    Ngoja wataalam was hii mambo
  6. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

    Biashara ya mbao inalipa sana brother anamiliki hotel mbili kubwa hapa mjini kwa biashara hyo huwa haidanganyi
  7. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Arusha mbona nafasi za kazi hazitangazwi humu???

    kaz za cku hizi ni za nyumba kwa nyumba
  8. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushuuda wa mashine za kutengeneza mkaa

    inalipa sana mjomba angu anapiga hii mishe
  9. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za nyonyo (castor seeds)

    mkuu nitafute ninazo nyingi sana
  10. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za nyonyo (castor seeds)

Back
Top Bottom