Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa Polycarp Pengo alikuwa Marekani akitibiwa kwa takribani mwezi mmoja, ktk safari yake ya kurudi Tanzania alipitia Dubai na daktari wake alimshauri apumzike hapo Dubai walau kwa siku moja hivi na akafanya hivyo(ilikuwa juzi tarehe 15 Juni 2017), sasa...
Ni bora kumpima mgombea uraisi ambaye tumekaa nae Serikalini akatufanyia kazi zikaonekana na mwisho wa siku tunampa pakubwa zaidi. Alijitahidi katika Wizara ya Ujenzi na rekodi nzuri ya uchapakazi.
Ni ile ya kutoka Mtwara mpaka Bukoba kupita katika barabara ya lami. Ni mwaka 2005 alipotoa maneno hayo;
Mkapa na Magufuli mwaka 2005 Jiwe la Msingi Nangurukuru – Mbwemkuru (Lindi) km 95.
Rais Benjamin Mkapa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mwaka 2005 walipoweka Jiwe la msingi...
Huu ni uzushi usiokuwa na msingi, STRABAG utawaona kesho wakiendelea na kazi, ila pia sijui kwa nini watanzania mnapenda sana mabaya kuliko mazuri, likitokea baya mnaandika sana humu, mazuri kimya - very disappointing!
nasaidia tu nisitukanwe, kipindi kile Kikwete aliingia full kurudisha nyumba kama unakumbukumbu vizuri, alichokifanya kwanza ni kumuondoa Magufuli ili wajue makosa wapi yalifanyika na kuzirudisha, lakini ilionekana hakuna makosa. Hiki ndicho kilifanywa Magufuli akaondolewa Ujenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.