Dkt. Magufuli ashtukiza akagua daraja la Ruvu chini

Dkt. Magufuli ashtukiza akagua daraja la Ruvu chini

Qualcomm

Senior Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
177
Reaction score
138
DSC_3565.JPG
DSC_3574.JPG
DSC_3611.JPG
DSC_3628.JPG
DSC_3584.JPG
DSC_3653.JPG​
 
Ahsante Rais Mtarajiwa. Lowasa athubutu kupanda hizo ngazi sijui kama hataishia ICU
 
asante rais wetu na mtu pekee aliyewatumika watanzania kona zote za nchi hii kila unapopita unaona kazi ya mkono wa magufuli,nasi tumezamilia kuripa fadhira kwa yote uliotutendea, kila mtu atavuna alichopanda,
 
ccm mtu pekee na mkombozi wa wabunge wenu kwa kuwaombea kura kwa wananchi ,mkimpitisha huyu,tutawakumbuka daima kikwete ,cc na NEC ya ccm
 
Mumetumwa nyie, inaonekana mliuziwa nyumba za serikali ndio maana mnamuona magufuli kama mungu wenu.......kama kupalamia madaraja kila siku mwanri na mwaijage wanapalamia
 
mumetumwa nyie, inaonekana mliuziwa nyumba za serikali ndio maana mnamuona magufuli kama mungu wenu.......kama kupalamia madaraja kila siku mwanri na mwaijage wanapalamia

unaumwa akili wapi magufuli aliuza nyumba za serikali unaja taratibu za mauzo ya mali za umma?
 
At least huyu anaweza kutuambia alifanya kitu cha maana ambacho watu wanaweza kuona na kuthibitisha.
 
Mkuu kanone hili daraja linajengwa wapi? Dr. Magufuli kiboko yaani wakati wenzake wamesahau kabisa mambo ya utendaji wapo busy kutafuta wadhamini, yeye anatafuta wadhamini lakini pia anapiga kazi! Mtendaji utamfahamu tu kwa matendo yake. Magufuli anaifaa hii nchi.
 
Last edited by a moderator:
Ruvu gani au Mie mgeni? Hivi nijuzeni Kuna barabara nyingine tofauti na Morogoro road? Mana daraja nlijualo Mimi Ni LA kitambo sana Sa hili LA lini
 
Mkuu kanone hili daraja linajengwa wapi? Dr. Magufuli kiboko yaani wakati wenzake wamesahau kabisa mambo ya utendaji wapo busy kutafuta wadhamini, yeye anatafuta wadhamini lakini pia anapiga kazi! Mtendaji utamfahamu tu kwa matendo yake. Magufuli anaifaa hii nchi.


mkuu liko bagamoyo,yaani naamini akiwa rais wale waliozoea kukaa ofisini badala ya kwenda kuwatumikia wananchi wao ni kupiga majumgu tu ,na njo leo njoo kesho watakuwa ndo mwisho wao
 
rais wa heshima ndani ya ccm na wabunge wake,wasipompitisha watakuwa hawajatutendea haki.
 
lowassa ngekuwa anahitaji mke ningemwambia aje kwenu kuchumbia.....
 
mkuu liko bagamoyo,yaani naamini akiwa rais wale waliozoea kukaa ofisini badala ya kwenda kuwatumikia wananchi wao ni kupiga majumgu tu ,na njo leo njoo kesho watakuwa ndo mwisho wao

Maneno yako yametimia
 
Back
Top Bottom