Recent content by CONTRACTOR

  1. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa interview NMB

    jamani kuna mdogo wangu aliomba za TANRODS vipi bado
  2. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Masikini Prof. Kitila Mkumbo: Ndio basi tena!

    Kila siku mimi ninadhani kwa jinsi siasa za bara la africa zilivyo mfumo wake uliridhiwa au kupokelewa kinafki , ki usaliti , kizandiki na kiubinafsi yaani kwakujipendekeza pendekeza na ndivyo tume uchukulia ni mfumo hata mashuleni na maishani maranyingi. Mara nyingi hata tukiona...
  3. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Masikini Prof. Kitila Mkumbo: Ndio basi tena!

    Kila siku mimi ninadhani kwa jinsi siasa za bara la africa zilivyo mfumo wake uliridhiwa au kupokelewa kinafki , ki usaliti , kizandiki na kiubinafsi yaani kwakujipendekeza pendekeza na ndivyo tume uchukulia ni mfumo hata mashuleni na maishani maranyingi. Mara nyingi hata tukiona...
  4. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Business Contacts for Contractors.

    Ingia crb kuna kila kitu, au kama una mchongo niunganishie
  5. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Maprofessa wa sikuizi ni maprofessa wa madesa tuuuu
  6. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa akutana na Maaskofu wa Tabora na Kagera na kufanya nao mazungumzo ya Faragha

    Makonda utakufa kwa njaa zako na kutafuta umaarufu ambao hauna maaana , sawa , ila tambua lowassa ndio chaguo letu watanzania wote walio na vyama na wasio na vyama\ '' lowassa ni the next pressident wa tanzania yetuu mpya ''
  7. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda, Mtaalam wa kuunda Mitandao isiyo na tija kisiasa, Lowassa kaa chonjo

    Hata kipindi tuna muunga mkono jk , nyinyi wakushindwa mlikuwa upande huohuon wa kushidwa , sasa wewe unasema apsoni ni wakushindwa , mtu ambae anajua kila kona ya nnchi na nini kilipo wewe katika ukoo wenu hapajatokea hata diwani, wewe ni mshamba hata unachokiandika hukijui ukweli...
  8. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi huyu mvivu

    Hapo site engineer ana kazi ya kujibu
  9. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya Mizengo Pinda hii hapa

    Unajua mimi nnapenda sana mki mjadili pinda kwasababu kukua kwa pinda ndio kifo cha membe, membe anategemea viongozi serekalini na pinda naye anategemea serekaliini maana watu wana taka fea na misaada ya kazi, kwahiyo wana pakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba wanakubalika ikifika...
  10. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    Shoza juliana , pole ila nna juajinsi roho yako inavyouma na kujilaumu kwanini ulidanganyika wakati ulikuwa unaujua ukweli hauwezi kuwa uwongo, ila ni tamaa ya umaarufu kudhani umaarufu ungekusaidia, sasa pesa walikupa ila wamekuacha na wanakujali kidogo tofauti na mwanzo aliye...
  11. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Sababu za CCM Kuogopa Katiba Mpya Hizi Hapa

    mtoa mada wewe nime kukubali achana na mabwege wanao waza kwa kutumia masaburi. Umeandika vitu bara sana ijapokuwa nnajua kuna madhara na faida ya kuwa na katiba bora ila faida ni nyingi kuliko hasara ,. Jamani tambueni jamani katiba bora ina faida na hasara
  12. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda siasa za ukweli na wapinga ubinafsi na uroho wa madaraka

    ni kweli zitto k kafanya mengi sana na makubwa sana kuliko nnavyo mjua , ila kufanya mengi na makubwa au kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria na kuelezea mambo sio sababu ya sisi kuku bali unafiki na tamaa yake ya pesa akihuisi kwamba hatojulikana niukweli aliteleza au maisha mazuri anayo...
  13. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania January Makamba na kiini macho cha urais

    Mhhhh Ndugu Mwandishi hapa usiandikie ushabiki au Historia kiukweli maneno ya mwalimu yalikuwa sawa kipindi kile, lakini sio sasa, Ishu ni kwamba mtu akiona kuna tatizo na ataweza kulitatua kama akipewa nafasi kwanini asiombe wakati anaamini , kwa nini mwalimu anasema tumwamini asiye...
  14. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda sasa ahamishia vikao vya Lowassa kwa mwanae Jimmy Mbezi Beach

    Nnnacho sema ni kwamba wewe Chabruma ni MMBWA tuu kwa KARAMAGI yaani wewe ni panya tuu kwa hao unaowafwatilia mwishowe unateseka bure kwakutumwa mwishoni watakuuwa kwasababu huna mbinu , kielweli LOWASA NDIO RAISI WA TANZANIA KATUTOA MBALI , KITENDO CHA KUKAA MADARAKANI MIAKA MIWILI...
  15. CONTRACTOR

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda sasa ahamishia vikao vya Lowassa kwa mwanae Jimmy Mbezi Beach

    haipendezi mwana mume kuwa mmbea sasa unakuja kutuambia ili nini sasa , hizo ni habari za kike na wanaokutuma wamekosa kazi kwani unazidi kuwapigia kampeni bila kujua , kama mm nlikuwa sijui kama anawatu wote hao maarufu wanamuunga mkono ndiio umeniambia na ndio nnaanza kumkubali...
Back
Top Bottom