Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha 14A(2) Cha Sheria ya Leseni za Biashara yaani Business Licencing (Prohibition of Business...
Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua...
Ndiyo lakini hiyo lease agreement iwe na majina Yako sahihi na address Yako sahihi yaani taarifa zilizopo Payoneer zifanane na taarifa zilizopo kwenye lease agreement. Kuna lease agreement nilitumia kuverify ningeipost hapa ila nimeitafta kwenye simu yangu siioni tena
Tumia utility bill kama water & Electricity Bill, hizi Bank Statement za CRDB hazionyeshi address wanazohitaji Payoneer.
Mimi nilitumia lease contract wakakubali chap
Bila shaka unamzungumzia Anydesk au Team Viewer, kutumia hizo tools natakiwa pia niwe nimewasha PC yangu ili aweze kupata access ya kile kinachoonekana kwenye PC yangu, Sasa hapo unaona ugumu uliopo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.