Nchi yetu hii nzuri sana ila Kuna mafisadi wachache ndio wanaiharibu.
Maeneo ya kubarizi kilwa ni
1. Kilwa kisiwani, utaenda na boti za kukodi tokea bandari ya kilwa masoko.
2. Kilwa songomnara, pia huko utaenda na boti kutokea bandari ya kilwa masoko.
3. Kuna mawe maarufu ambayo kihistoria...
Hiyo yote ni michezo ya JK, na hao ni sehemu ya fisi anaowafuga kwa ajili ya kula rasilimali za hii nchi.
Kuna fisi wengi anaofuga JK wanakula rasilimali za hii nchi, hao waliojulikana ni sehemu ndogo ya fisi ambao hawajafahamika ila wako wakila rasilimali za hii nchi hadi mda huu.
JK atakuja...
Kuna mda unajiuliza kwamba labda JK sio mtanzania ila ni clone yake ambayo hatujui, maana kwa jinsi anavyotukomesha kwa uharibifu mkubwa wa utaratibu na rasilimali za nchi ni kama anatukomoa na hao fisi anaowafuga wanakula Kila rasilimali za hii nchi.
Inasikitisha sana
Hao ndio watu wa CCM, Kuna mtu atakuja kulipa madeni makubwa aliyosababisha kwenye hii nchi yeye na kizazi chake chote namaanisha mzee wa msoga.
Aina nyingi za ufisadi katika hii nchi ni anahusika kwa namna moja ama nyingine.
Huyo ni mtoto wa marehemu Charles Kizigha aliekua mwandishi mstaafu wa magazeti ya Daily news na Sunday news na huyo mzee ni rafiki wa karibu wa mzee wa msoga.
Hivyo ukiona matendo ya huyo mama kama ni heri au shari ujue yana uungwaji mkono toka kwa mzee wa msoga.
Picha chini ni marehemu...
Hakika Mbeya hakuna njaa, yani huyo Mwambigija anaongea vitu vya msingi huku karilax kabisa.
Safi kabisa Mbeya, nchi yetu inahitaji uhuru wa mara ya pili.
Nenda kwenye duka la mtandao husika wa sim card unayotumia, omba kuongea na meneja mueleze ukweli wa kilichotokea.
Meneja atampigia muhusika wa hiyo laini kama anakutambua na anaitambua hiyo namba, kama ndivyo itafungwa na kusajiliwa kwa NIDA yako au huyo muhusika atakusaidia ku renew hiyo laini...
Hao ni wanafiki tu kwa saa100, wapo kwa ajili ya njaa zao tu ila mioyoni mwao hawampendi wala hawataki kumuona huyo saa100 akiwa rais baada ya saa100 kufukuza ndugu zao kule Ngorongoro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.