Recent content by Consigliere

  1. Consigliere

    Neno kubarikiwa limeshuka hadhi. Wagalatia tunapita wakati mgumu sana

    Kama utachukulia dini kama kikosi cha jeshi, kinachojiandaa kupambana vita ya silaha, au kama utaichukulia kama mtoto unayemlea hapo naweza nikasema upo sahihi na wanaokubeza pia wapo sahihi. Ila, kama utaichukulia dini kama njia, au kimbilio baai kuna kitu mtakuwa kwa pamoja mnakosea...
  2. Consigliere

    Wakristu kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Hakuna njia isiyo na kanuni ya kuzifuata. Labda mnahangaishwa na swala la Utamadunisho, hivyo mkatamani dini inayofuata utamaduni wa watu fulani huku waumini wake wakitakiwa kuufuata utamaduni wa nchi fulani. Katika Ukristo watu walitenganisha imani na utamaduni.
  3. Consigliere

    Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

    Ikitokea hamjaitwa kutoa maoni ndiyo mlalamike. Mnataka mshirikishwe kuandaa Mpango wa taifa kwa akili na mentality za kilalamishi? Kwa lishe ipi? Kikubwa ni kwamba wale wote unaodhani wanastahili watafikiwa na kutoa maoni yao. Wakikataliwa ndipo mje mlalamike. Mtu kama amejipambania hadi...
  4. Consigliere

    Wakristu kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Dini ni njia. Utasemaje Ukristu siyo dini?
  5. Consigliere

    Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Ushauri wangu kwako ni huu; badala ya kumuita mwenzako mpotoshaji ungeomba mjadala. Ninachokuhakikishia, hakuna wakati wowote ule ambapo Tabora na Kilimanjaro viliwahi kufikiriwa kuwa jina lanchi kabla ya Tanganyika. Kabla ya Tanganyika Tabora ilikua bado haijawa named kama mji, ilikua bado...
  6. Consigliere

    Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

    Mwisho wa mwaka huu, ni muda wa watu kutoana out baada ya kazi ngumu ya kutafuta pesa na visirani vya kukwaruzana na mabosi. Swali ni je, hao wote wamelipiwa na serikali? Bila shaka jibu ni hapana.
  7. Consigliere

    Aliyeona CHADEMA wakitoa misaada kwa wananchi wa Hanang kama walivyofanya CCM naomba aniwekee hapa picha au video yake

    Huruma na upendo gani mlio nao kwa wananchi hao ambao kamwe hamjawahi kuheshimu maisha wala maamuzi yao? Mngekua mnawaheshimu msungefumbia macho ufisadi mnaoufanya huku mnashangilia, wala msingeingia mikataba ya kipumbavu kama ya bandari. Pili mngekuwa mnwaaheshimu msingekua mnafinyanga maamuzi...
  8. Consigliere

    Nimeona emoj za ajabu kwenye WhatsApp sms za Mke wangu, Sijui huwa anamtumia nani

    MKe wako ambaye matako yake unaruhusiwa kuyashika, uchi wake unaruhusiwa kuuona na kuu https://jamii.app/JFUserGuide, chupi zake unashika, chuchu zake unanyonya lakini simu yake iliyonunuliwa Kariakoo ndiyo iwe mwiko kuishika? Hivi huwa mnajisikiliza kweli mnavyoongea hayo mambo yenu? Mnaacha kukumbushana matumizi...
  9. Consigliere

    Unguja: Wadaiwa kulawitiana kwenye mahabusu ya Polisi

    Nipo mkuu wangu, tunabishana tu na maisha yanayotupanga na kututaka tuthibitishe kama kweli tunataka kuendelea kuishi, naso tunathibitisha kwa kutafuta kwa jasho na damu. Nashukuru sana kwa kunitambua.
  10. Consigliere

    Gesti unatumiaga jina gani?

    Dr. Mariposa
  11. Consigliere

    Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Hamuoni hata aibu kulaumu serikali? Mnalaumu serikali kwani kuna dereva ndani? Gari inatembelea neutral hii
  12. Consigliere

    Aisee wadogo zetu jobless graduates wanapitia magumu mno

    Hao vijana labda wawe wageni tu hapa duniani. Sisi kitambo tu stress tunaishi nazo. Umeshawahi kula ugali kwa harufu ya soksi? Dunia bila stress hainogi.
  13. Consigliere

    Aisee wadogo zetu jobless graduates wanapitia magumu mno

    Dunia bila stress ni kama upo futi 6 ardhini mahala pema peponi...dunia bila stress inaboa.
  14. Consigliere

    Vikaragosi vya AI vinaua ubunifu wa sanaa ya uchoraji na havina mafunzo

    Dunia ya sasa mafunzo yote yapo, hakuna haja ya mafunzo mapya. Unataka kujifunza nini wakati kuna search engine kibao ambazo ambazo zenyewe zina index queries zako ukixiomba na zaidi tuna AI ambazo zipo well trained na nyingine sasa ni out of control kwani self learnung na zina pick data na...
  15. Consigliere

    Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

    Sasa wa kulaumiwa ni nani? Wakaazi wa Mbeya au watu wataalamu wanaotoa vibali ili squarters zijengwe badala ya kusimamia ujenzi kwa mujibu wa mipango miji? Wananchi wanakuwa shaped na sheria, kanuni na taratibu. Likikosekana hilo hapo lazima uholela uingilie. Inawezekana Mbeya hakuna Serikali au...
Back
Top Bottom