Recent content by Confidencer

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka urais hapa ndio mnapochemsha sasa...!

    Za asubuhi wadau, Kwa haya yanayoendelea kwa viongozi wa juu wa serikali kushindwa kuchukua maamuzi kisa kulindana, huu ni udhaifu mkubwa unaoonyeshwa na viongozi wetu. Mbaya zaidi viongozi hao akiwemo waziri mkuu wamejinadi wanataka kugombea Urais,mi nashindwa kuelewa kitu kimoja...kama...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    Rais Kikwete ni mojawapo ya marais bora kutokea katika jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Nasema hivyo nikiwa na reflect hali ilivyokua kutoka kipindi cha Mwinyi, Mkapa na mpaka sasa anamalizia Kikwete. Ni suala lililo wazi na linaloonekana kua katika kipindi hiki tumeshuhudia maendeleo makubwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni upuuuzi kuitikia maandamano yasiyo na tija kwa ushawishi wa CHADEMA

    All in all lile Mbulula Mbowe linaburuza mijitu mingi sana....ila hii yote mi nawalaumu akina Prof. Lipumba na Mwanasheria Mbatia...mtakubalije lile li form six liwapangie mambo???:wacko::wacko::juggle:
  4. C

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa viongozi wa CHADEMA

    Yaani kwa style hii kuna mijitu inaropoka tu humu ndani...CHADEMA imeanza kupungua makali toka ilipoingia kwenye mgogoro na ZZK na hili halihitaji degree...ila kwa sababu kuna mijitu ni mishabiki basi kazi yao ni kushangilia tu hata kama inakula upande wao...mtoa mada umenena sahihi...mtu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Hili kweli mi ndio linanishangaza...hii nguvu wanayotumia hawa viongozi wa CHADEMA inatishia kidogo na sidhani hata kama wakishinda kutakua na jipya hapa.Hivi mshawahi kujiuliza matumizi ya mafuta ya ile Helkopta???Je hela hizi zisingeweza kuongeza madawa katika zahanati zilizoko vijijini???Hivi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Mi nilidhani utaeleza kwa nini CHADEMA unasema kina njia nyeupe kwenda Ikulu kumbe na wewe ni mbulula shabiki unashabihikia hata huangalii evidence...kama njia nyeupe kingemwagika vibaya Kalenga???----- kweli wewe
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyopotea ikitafutwa

    Ngumu kujudge kwa style hiyo...mmoja alikua anaenda Germany kuonana na mama ake...only God knows the truth!!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Good job...kuna mijitu humu ndani full wivu...!Kama katafsiri na wewe tafsiri basi....!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini aliyekuwa makamu mwenyekiti cdm kajiuzulu baada ya zitto kusimamishwa?

    CHADEMA inawachukia waislamu na haiwataki,kwani hilo ni siri jamani???ye kaona hakuna demokrasia na udini umekithiri,mzee Mtei kafanya chama chake akaona aachie ngazi.Tatizo liko wapi???
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa nakutega tu!!

    Hapendwi mtu hapo
  11. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Katuni hizi ni funzo tosha kwenu

    Mwenye macho na aone
  12. C

    JamiiForums Tanzania Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    Any way cha msingi umeeleza vizuri sana...pongezi kwa kutumia muda wako kuelewesha umma wa watanzania..!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ngome ya Zitto Makao Makuu ya CHADEMA Kuvunjwa Wiki hii

    Zitto anachukiwa sana na baadhi ya watu kisa ni Muislamu aliyeko ndani ya CHADEMA hii inanipa mashaka sana na uhalisia wa chama hiki cha chadema...sijajua ni cha kidini au ni cha wapenda mageuzi na wapenda maendeleo...any way tutaona mwisho wake..
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mhe. Zitto Kabwe: Asante Umetufungua macho!

    any way...ajiachie tu....nyie mnaolalamika mkiwekwa nyie Ikulu mtaomba mpunguziwe mishahara...???
  15. C

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Akutana na Wazanzibar wanaoishi Dar (Bara), Tanganyika

    Mada nyingine hizi ni za kuchochea descrimination na sidhani kama zina mashiko yoyote...kama kakutana nao ni vizuri na wewe waunganishe wamanyema wenzako then muiteni Nape atakuja...!
Back
Top Bottom