Mnaotaka urais hapa ndio mnapochemsha sasa...!

Mnaotaka urais hapa ndio mnapochemsha sasa...!

Confidencer

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
29
Reaction score
9
Za asubuhi wadau,

Kwa haya yanayoendelea kwa viongozi wa juu wa serikali kushindwa kuchukua maamuzi kisa kulindana, huu ni udhaifu mkubwa unaoonyeshwa na viongozi wetu.

Mbaya zaidi viongozi hao akiwemo waziri mkuu wamejinadi wanataka kugombea Urais,mi nashindwa kuelewa kitu kimoja...kama unaona wewe ni kiongozi tena mkubwa wa nchi...uovu unafanyika ndani ya watu unaowamanage halafu unashindwa kuchukua maamuzi...ni wazi kua wewe hufai kua kiongozi kabisa...tena sio wa nchi tu...HUFAI KUA KIONGOZI HATA WA DARASA LA PRIMARY, nani asiyekumbuka wakati tuko primary kuna kipindi kama wewe ni Class monitor darasa linakua may be linapiga kelele na mwalimu anapoingia anakuuliza wewe classmonitor eidha umpe majina uliyoyaandika ya wapiga kelele or at least mtajie majina ya wapiga kelele...ukishindwa basi wewe ndio unakua asusa...wewe ukitambua majina ya watu wote wanaopiga kelele tena baadhi yao ni WABABE na wanakukata JICHO ambalo linaashiria ukimtaja basi baadae wakati mnarudi home labda upae...lakini ukijua fika kua wao ndio waliokua wanapiga kelele unaamua kuwataja majina yao bila kujali vitisho vyao....HAYA NDIO MAAMUZI MAGUMU na nachelea kusema kua VIONGOZI HAO HAWAKUWAHI KUA HATA MA-CLASS MONITOR as hawajiamini na ni mizigo tu.

Any way ni hayo tu...watu tunashindwa mpaka kulala bwana kisa tunasubiri tumjue anaetuibia kodi zetu...halafu nyie mnavungavunga hapa...alaa..!!!
Kama vipi achieni ngazi na sie tugombee...watu tulikua maclass monitor na mambo yalienda poa...uzoefu wa uclass monitor nadhani unatosha sana hakuna haja ya kua na CV kuubwa halafu sehemu ya kuchukua maamuzi unaanza oooh busara ooh whatever....MNATUYEYUSHA BWANA.:angry:
 
Back
Top Bottom