Sijakalili hesabu nilizotoa ni za 12V. Solar ziko configuration nyingi. ziko za 24V,36V,48V,60V,100V mpaka 500V mwisho.
Kanuni ni ile ile unacheza na wattage, Voltage na Amperes.
Naomba Radhi Kama nimekukwaza, sikuwa na nia mbaya.
Nafikiri mmenielewa vibaya,sikuwa na nia mbaya ya kumkwaza yeyote.
Ukitaka kujifunza au kujua zaidi kitu ni vizuri wakati mwingine kukubali kuwa kila kitu kina kanuni(theory) yake kabla ya kukitazama kwa upande wa Practical.
Natambua kuwa kuna watu wamefikiria kuwa nimewadharau kwa kusema...
Hiyo Volt 17.5 ni kiwango cha kupigia mahesabu ya amperes za solar.
Siyo kiasi cha kuchajia battery.
ndiyo maana lazima uwe na charge controller kama unataka battery yako isife haraka kwa ajili ya overcharging.
Kama unayajua mahesabu usipotoshe watu.
Panel ya 30W ni amperes 30/17.5V=1.7Amps.
Ukimwambia panel ya 30W ni 30/12=2.5Amps hapo umeshampotosha.
Atakapopiga mahesabu kwa 2.5 Amps badala ya 1.7 Amps system yake ita undercharge na itamsumbua.
tatizo linalosumbua wateja wengi wa solar ni Mafundi...
Panel ya 200W=200w/17.5=11.4Amps, Panel ya 100W=100w/17.5=5.7Amps
Kumbuka hizi ni Ampere Panel inapokuwa kwenye Mwanga mzuri kabisa wa jua(Maximum Peak power amperes)
Mahesabu ya solar siyo rahisi sana kama baadhi ya wachangiaji wanavyotaka kuaminisha,
Nafikiri mahesabu yako umekosea.
Huwa yanapigwa hivi: 30W/17.5V=1.7Amps.
17.5V ni solar voltage at Peak Power, yaani solar voltage wakati hali ya jua iko kwenye kiwango kizuri kabisa.
Kiasi cha Amps kwa solar huwa kinabadilika kulingana na hali ya jua.
Hakiko stable.
Mahesabu ya solar yako...
Kwa haraka haraka kabla hata hujasema system yako inatumika kwa ajili ya shughuli gani solar panel yako ni ndogo.
Panel yako ina uwezo wa kuchaji na 1.7 Amps wakati hali ya jua iko kwenye kiwango cha juu kabisa. hiki kiwango ni kidogo sana kuchaji hii battery.
Ukitaka kujua ukubwa hasa wa panel...
Nafikiri siyo kweli. Nahisi Miti mirefu zaidi iko Ngara katika vijiji vya Mwivuza na Chivu.
Kuna miti flani inaitwa MIGURUKA(SKY IS THE LIMIT), ambayo unaweza kuuona huo mti ukiwa umbali wa km hata 10.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.