Mti mrefu Afrika wagunduliwa katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania

Mleta mada kwanini unadhani miti mirefu inapatikana zaidi Africa?

Kwa kawaida miti mirefu zaidi duniani huwa haipatikani barani Afrika.

Nimekutafutia jibu kwanini haipatikani mkuu,

'This is probably a result of both a shortage of studies in Africa, so many trees are overlooked, and the fact that many of the continent’s tree species grow in places where limited resources prevent them from getting too tall'.
 
Nafikiri siyo kweli. Nahisi Miti mirefu zaidi iko Ngara katika vijiji vya Mwivuza na Chivu.

Kuna miti flani inaitwa MIGURUKA(SKY IS THE LIMIT), ambayo unaweza kuuona huo mti ukiwa umbali wa km hata 10.
 
Hahahah africa wee wanasayansi kutoka ujerumani aya bana kila kitu ni cha mthungu sasa aya bana
Mm nimezaliwa apa nimekukia apa mlima nimepanda ata sikumbuki mara ngapi mti napishana nao kila wakati alafu leo kichakoro toka ujerumani kaja kuugundua malabuku wazungu wote
 
Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.

Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani.

Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita, lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima urefu wake.

Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.

Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.

Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani
 
Picha tafadhali
ce93e236355ed88b884a017e33da32d9.jpg
 
Jameni vivutio mnavyo, lakini kujinadi hamnazo. Sasa mtalaumu wajanja wakiutangaza na kupiga hela.
==================================

_92783044_tress.jpg

Mti mrefu Afrika wagunduliwa katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.

Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani.

Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita, lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima urefu wake.

Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.

Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.

Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani.

Mti mrefu zaidi Afrika wagunduliwa Tanzania - BBC Swahili
 
hata kama hawajui basi wameshagundua kitu ila wa kwetu ni ile kitu inaitwa ya bure yayo kabisa
Tatizo wana sayansi wetu ni wa kukremisha theory na copy&paste

Chukulia mfano huu ,saizi kila anayemaliza chuo analilia ajira ,aajiriwe .TZ tunasoma ili tuajiriwe na siyo Ku invent

Hakuna mfumo wa kuwatayarisha hawa graduates wa sayansi wawe inventive

TZ tupo fo fo fo . tunasoma ili tuajiriwe na siyo kugundua
 
Hahahah africa wee wanasayansi kutoka ujerumani aya bana kila kitu ni cha mthungu sasa aya bana
Mm nimezaliwa apa nimekukia apa mlima nimepanda ata sikumbuki mara ngapi mti napishana nao kila wakati alafu leo kichakoro toka ujerumani kaja kuugundua malabuku wazungu wote

Wao wamekuja kufanya tafiti, wewe umepanda kuingiza siku wapi na wapi mkuu.
Tafakari.
 
Kule mtoni Umbwe, kuna miti mirefu sana inayoanzia kwenye bonde refu la mto lenye urefu wa zaidi ya mita 50, na bado miti inatokeza juu ya bonde la mto na kwenda juu zaidi
 
Jameni vivutio mnavyo, lakini kujinadi hamnazo. Sasa mtalaumu wajanja wakiutangaza na kupiga hela.
==================================

_92783044_tress.jpg

Mti mrefu Afrika wagunduliwa katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.

Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani.

Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita, lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima urefu wake.

Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.

Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.

Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani.

Mti mrefu zaidi Afrika wagunduliwa Tanzania - BBC Swahili
Tanzania inapata hela nyingi kwenye utalii kuliko Kenya . Nyie endeleeni kuongeza juhudi kwenye sex tourism.
 
Back
Top Bottom