Recent content by comred

  1. comred

    JamiiForums Tanzania Scholar claiming coronavirus was “Allah’s punishment” tests positive

    Mambo ya Imani, Pumbavu mmoja anawajaza Upumbavu kikundi flani kwenye Hoja za kitabibu/Medical
  2. comred

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

    Kwani ni Wapi Alipokosea..
  3. comred

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa kata wote nchini kwenda Ikulu Dar, Septemba 2

    Ntarekebisha hapa tuu " ni Kaka/Dada Wakudadavua".. Mengineyo nayaunga mkono 100/100
  4. comred

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

    Wanaharakati wameongezeka sasa kuna wale wa Act..
  5. comred

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Sio mtu mmoja..ni kikudi cha watu wanapokezana Account.. Huyu Leo aliyelete Uzini ni waKike na kule twitter pia ndio huyuhuyu..
  6. comred

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2015 mkoa wa Kagera...

    Ndugu Fahami.. Nakupongeza sana namna ulivyojikita kwenye hoja na hakika hii style yako ndio itakua muongozo wetu sote nchi nzima kuweza kuisaidia jamii zetu waelewe kuirahisi na kiufasaha dira ya Mh.JPM.. Nahakika uchumi wa kati tutafika tujitume sisi kama vijana wa UVCCM nchi mzima
  7. comred

    JamiiForums Tanzania Kheri James unadhihirisha huko CCM vijana hamfunzwi ushawishi

    Huyu dogo ni kichwa box..anajua kuropoka tuuu...
  8. comred

    JamiiForums Tanzania Huyu mama ni mpotoshaji kuhusu masuala ya ndoa. Adhibitiwe

    Acha wajazane Upumbavuu.. Usipo weka maji utarudi kwenu huu muda wakupoteza karne hii hakuna
  9. comred

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini Noel Olevaroya, ahamia CCM

    Bado mstaiki mayor Kalist.. Chadema inakufa kifo cha mende jijini Arusha.. Matapeli hawa wametuchelewesha..
  10. comred

    JamiiForums Tanzania Musiba sasa ‘awatukana, kuwabagaza na kuwadhalilisha’ wanachama wote wa CCM. Kiburi hiki anakitoa wapi?

    Wewe kunamuda unakua wakili maandazi.. Unawezaje kusema wanachama wote wa CCM ..!? wewe ni msemaji wa wanachama..?! Utulizane ukiwa unaleta hoja..ipotoshaji huuwache huko mahakamani
  11. comred

    JamiiForums Tanzania Machale yamcheza JK , aamua kukagua mashamba yake Dodoma

    Ufipa wamejisahaulisha.. Wanadhani hatujui Boss wao anakwepesha uchaguziii.. Heche amekazania kulialia zaidi ya wamama wa Bawacha
  12. comred

    JamiiForums Tanzania Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Ulimbo, Haya mawazo yako ni ya kike sababu yana sukumwa na hisia zaidi.. Mzee huko ndie atakae changanyikiwa vinaja washamvua msulii.. Wewe unasema kughushi..?
  13. comred

    JamiiForums Tanzania Hakika Wazee ni dawa , Ule waraka wa Kinana na Makamba usingetolewa wangelizwa zaidi , waliandaliwa michezo mingi sana michafu

    Unapendaga kujuiliza maswali yakipumbavu wewe mama.. Kwani anaekutawala anapatikanaje..?!
  14. comred

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa Wilaya ya Tunduru - Ruvuma

    Mtatiro chapa kazi sasa.. kuleulipo kuwepo walikua wanakumaliza uwezo wako.. Hongera sana
  15. comred

    JamiiForums Tanzania Hivi ni fasheni au nini kuvivalisha vitoto vinguo vya ajabuajabu

    Hoja yako hapa ni ipi hasaa..?!
Back
Top Bottom