Recent content by Comrade Mpayukaji

  1. Comrade Mpayukaji

    Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

    Usitetee ujinga huu ambao umejaa fitina na majungu
  2. Comrade Mpayukaji

    Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

    Haya ni majungu. Kuna Mkuu wa Wilaya ambaye ni Mwenyekiti wa KUU pamoja na Waheshimiwa madiwani, huko kote umepeleka hizi Taarifa zifanyiwe Kazi? Acha majungu
  3. Comrade Mpayukaji

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nadhani litakuwa jambo jema wabunge wakalipwa salary scale kama watumishi wengine wa umma na walipe kodi kwenye mishahara yao. Hapo ndipo tutakapojua watumishi wa kweli wa wananchi na si maslahi yao binafsi.
  4. Comrade Mpayukaji

    Genge la Lowassa ni janga la Taifa, wenye macho ya ziada walisaide Taifa hili

    Kwa utajiri gani alionao wa kuhonga kihasi icho? Acheni chuki
  5. Comrade Mpayukaji

    The Big Result Now, Mwanafunzi Asiyeweza Kuandika Jina Lake Afaulu Darasa la Saba

    Hii ni aibu Kama taifa. Tumepoteza direction. Hizi Quick fixes za serikali hazitusaidii bali kutuangamiza kabisa Kama taifa!
  6. Comrade Mpayukaji

    Sheria ya Mabadiliko ya Katiba: Kuna Mgongano wa Kimaslahi ama ni Maslahi ya Umma Yanalindwa?

    Wabunge wa CCM hamkuwakilisha watanzania Bali Chama chenu pamoja na madai ya taratibu kufuatwa. Hamkuweka Maslahi ya wananchi.:disapointed:
  7. Comrade Mpayukaji

    Wanaume...Eti Mpaka Karne Hii Bado Mwachagua Wachumba kutokana na Umbo!!! ACHENI UBAGUZI.

    Shenazi, Si wanaume peke yaoo wanaongaliia hayo. Hata nyie kina dada Mnakagua vitu vya ajabu sana.:A S-omg:
  8. Comrade Mpayukaji

    Dr slaa, kama kwenye ngazi ya chama tu umepotelea ulaya, itakuwaje ukiipata ikulu?

    Haya unayosema ni Majungu . CCM ilikufa na Nyerere!
  9. Comrade Mpayukaji

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Huyu Karibu wenu mwenezi wa chama chenu cha mapimbi anazani watanzania wote ni vilaza Kama yeye.
  10. Comrade Mpayukaji

    Dhambi ya Deo Filikunjombi (mb) Ludewa

    Muhame huko kwenye visiwa.
  11. Comrade Mpayukaji

    Uchafu wa Waziri Ghasia na dharau zake kwa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kifua cha JK

    :kev:Kazi iPo tunasubiri wakanushe tuhuma hizi nzito.
Back
Top Bottom