Recent content by Complex1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

    We need to be dynamic.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Wote wamesema hivyo, changia jambo ulifahamulo kk/sster.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Masheikh wapiga kambi Bungeni kushinikiza Mahakama ya Kadhi kupita

    Hadi hapo tu, tayari mmegawanyika kuliko ninyi muonavyo na kujua. NDO MAANA TUNASEMA MAHAKAMA YA KADHI TANZANIA NI MWANZO WA MAKUNDI, HISIA, MPARAGANYIKO NA HATIMA MBAYA YA TAIFA HILI. LEO MTAKATAA KWA KUWA YAMEFICHWA KWENU, KESHO MTAKUMBUKA WAKATI MKILIA NA KUOMBOLEZA NA ITAKUWA NGUMU MNO...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Afikishwa Mahakamani, akimbizwa kliniki ya UN baada ya Afya yake kubadilika

    Huyu ni M/kiti wa CUF, ambao ni washirika ktk SMZ, kwa msingi huo mmoja tu ni kiongozi mkubwa ktk Taifa hili, lakini ndo katendwa hayo!! Mhh!! KAMA WANAWEZA FANYA HIVYO KWA MTI MBICHI JE MKAVU?? Nadhani hawatendi jema kwa kuwa wataiwasha moto nchi hii!! Kuna siku watu watasema baasi itakuwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Ccm ni hatari sana kuliko ebola
  6. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Hatua kali za kisheria sio waliotenda fujo tu pale ukumbili, bali muasisi wa fujo hizo ndiyo ashughulikiwe ipadavyo.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Kwa mtu anayefuatilia mambo, ukihusianisha na yaliyojiri wakati Warioba akiendelea kutoa mada, fujo hizo kwa vyovyote haziwezi kuanzishwa na UKAWA bali CCM tena si kwa maslahi ya umma bali ya CCM WENYEWE. Najua wako wataka pinga kwa mapenzi yao lakini kama UKWELI NFO HUO, FUJO HIZO ZIMEASISIWA...
  8. C

    JamiiForums Tanzania 90% ya kura za Siri zilizopigwa Bunge Maalum la Katiba ni "HAPANA"

    Haya Watanganyika
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Hakuna tatizo kwa MAKANISA; Nahisi kuna tatizo kwako, ndiyo na kwa mkeo pia. TAFUTENI MCHUNGAJI AWASAIDIE.
  10. C

    JamiiForums Tanzania FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Ni kipigo tu. Well done TPDC.
  11. C

    JamiiForums Tanzania WANA SIKONGE --- mmemsikia Pinda kuhusu asali ? kafii aka ka kahanya!!

    kenani hange! mwe!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Thubutuu!!
  13. C

    JamiiForums Tanzania List ya mawaziri wetu wanaoweza kuongea fluent english

    jameni mtz wala si fahari kuongea kiinglishi nadhani tujivunie kiswahili lugha yetu au vp??
Back
Top Bottom