Karibuni sana 2lijenge jiji la mungu, mchakamchaka wa SAUT c mchezo, kama kuna yoyote kachaguliwa kozi ya Engineering aniulize chochote kuhusu kozi hyo pale SAUT
Heshima mbele mkuu, kuna program (AUTOCAD) imegoma kufunguka kwenye pc yangu hapo awali ilikuwa ikifunguka na ku-function vzr tu, kama siku 3 sahv ukii-click kasa inaload 2 kwa sekunde chache then ina2lia bila progmam kufunguka, naomba msaada wa nini chakufanya ili niweze ku2mia hyo AUTOCAD...
Nipo DSM,Natafuta used laptop iliyo katika condition nzuri, long battery life na iwe cheap, kwa yeyote anayeuza anipm, usisahau kuweka specifications zake pamoja na bei. Thanks for your time and consideration.
BE in mechanical Eng wanadeal na practical nyingi than theory, na kozi hii hutolewa kwenye vyuo kama ATC, DIT na MIST while BSc in mechanical Eng inadeal na theory nyingi kuliko practical
yani mwanafunzi wa ICT mwaka wa 3 ndo anaulizwa maswali ya darasa la 3!! Haya kweli majanga!! Hv TCU wanazingatia ubora wa elimu unaotolewa vyuoni kweli?? au ndo kuthibitisha vyuo kama KIU ni kituo cha vilaza kwahyo na waalimu hujali uwezo wa wanafunzi wao??
Ni kweli mataizo yapo lakini ndio Msomi abadilishe utu kwa pesa!!?? Sijui wasomi hawa wanajenga taswira gani kwa jamii!!?? Ni aibu kubwa kwa wanawake na kwa taifa.
ahsante kwa kunirekebisha kaka!!
Lakini kuhusu Agricultural engineering hapa bongo naona ni baadae what government give is just encouragement with some political slogans like "kilimo kwanza" but no supportive attitudes while most employee in this sector are very poor and they need special...
mkuu ulichokisema ni sahihi kabisa lakini kwa upande wa perfomance ninavyoelewa perfomance ya kazi inategemea sana good background knowledge tofauti na academic perfomance(examination performance) ninachoamini ni kwamba engineer wa SAUT (sina nia ya kubeza chuo lakini) ambapo hakuna workshop...
ni kweli personal skills and eforts are very important for any kind of success lakini pia kuna factors ambazo ni lazima kuangalia kama learning material,workshops na walimu wazuri na wenye uzoefu katika field hii!! Mbona waandisi wengi wa kizungu wanafanya mambo mazuri au ndio tuseme wanaakili...
Hivi ni chuo gani hapa Tanzania ambacho atleast kinatoa waandisi bora katika fani zifuatazo ambazo ndio marketable hapa bongo;
1.CIVIL ENGINEERING
2.ELECTRICAL ENGINEERING
3.MECHANICAL ENGINEERING
4.TELECOMMUNICATION ENG
Je ni;
1.ARDHI
2.ARUSHA TECH COLLEGE(ATC)
3.DIT
4.MIST
5.UDSM...
pole sana nimegundua wewe kumbe elimu huna, umebaki kujipa moyo kwamba hakuna faida ya kusoma, Generally ni kwamba elimu ya mtu haipimwi kwa utajiri wa pesa na mali, bali ni mtu mwenye utajiri wa mawazo na fikra chanya, nimegundua kwa haya mawazo yako una andaa genge la wajinga na wapumbavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.