Recent content by Compactor D6

  1. Compactor D6

    Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

    Mcharo naaamini hata si mkatoliki. Hapa anayafuta kiki ila kwa njia mbaya ka kujenga chuki. Hana lolote mpuuze tu. Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  2. Compactor D6

    Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

    UDSM ulienda lini sasa? Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  3. Compactor D6

    Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

    Acheni mahaba niue kwenye ukweli. Supplier wa jeshi kukutwa na material ni kosa wakati ana mikataba halali? Hii kesi nayo anawapiga chini. Akifungua kesi ya madai ya fidia serikali ikishindwa wanalipa KIMYAKIMYA. Matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
  4. Compactor D6

    Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

    Hivyo vitambaa vya sare za jeshi na mihuri sio issue kwake maana yeye ni supplier, waishakosea hapo, napo ataruka. Watafute kosa lingine. Shida ya polisi wenu wanatengeneza kesi za kutumwa wakienda mahakamani wanashindwa kuzitetea ndiyo maana Manji anataka apelekwe mahakamani.
  5. Compactor D6

    Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

    Anapewa vipindi 4, ikitokea wapinzani wakapata viti vya bunge 55% na wakaja na hoja ya kuokuwa na imani na rais, kinatokea nini hapo?
  6. Compactor D6

    Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

    Ukabila nao umo, undugu usiseme, huyo ndo JPM halafu umpe miaka 20?? Hainiingii akilini.
  7. Compactor D6

    Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

    Tender ya ujenzi ilitangazwa lini na wapi?
  8. Compactor D6

    Kujipendekeza? RC Makonda ammwagia sifa Meya wa CHADEMA

    Kulikuwa na umuhimu wa Bashite kupost hii kitu kwenye media? Zerp brain
  9. Compactor D6

    Tusiipuuze Hofu hii ya Mh. Lema na Mzee Mwinyi kuhusu rais Magufuli

    Huu msimamo wako si kwa kila mtu. Ikiisha 10 atokomee atapatikana mwingine.
  10. Compactor D6

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    ACT ni fisiem B. Hao sio wapinzani, ni waigizaji maana wana kadi na ni wanachama wa fisiem. Nasema hivyo maana MKULU alishatamka kwamba hawezi kuchagua viongozi toka upinzani.
  11. Compactor D6

    Sakata la kuzikwa Ndesamburo: Godbless Lema umetia aibu

    CCM wana tatizo la fikra. Upeo wao wa kuona mbali ni mdogo mnoooo. Mleta uzi iweje uwasemee Chadema? Je, upo mioyoni mwao?
  12. Compactor D6

    Kwa utamu huu wa punyeto wanaume kando

    [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]
Back
Top Bottom