Recent content by Communist

  1. Communist

    NHIF Na Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Bima kwa Wanafunzi Overview NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania. Students with NHIF...
  2. Communist

    Changamoto zinazoikabili Taasisi ya Teknolojia ya Dar (DIT) zinazopelekea ishindwe kuchangia kikamilifu Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Tanzania

    Mbona mambo yako vile vile? Hivi hii wizara ya elimu inajitambua kweli? Siasa nyingiiiiii?
  3. Communist

    #COVID19 Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

    Hivi tumefikia kubeza watumishi wa mungu. Nina wasiwasi sana. Naomba tuwe makini.
  4. Communist

    Changamoto zinazoikabili Taasisi ya Teknolojia ya Dar (DIT) zinazopelekea ishindwe kuchangia kikamilifu Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Tanzania

    Mbona naona kama kuna watu wanakichukia sana hiki chuo? Halafu hata wenye chuo hawajitetei. Kuna harufu ya kuwa haya mambo yote ni kweli. Tatizo ni JF tu. Kama haya mambo ni kweli, chuo kitatokaje humo. Hiki chuo kina heshima sana.
  5. Communist

    Changamoto zinazoikabili Taasisi ya Teknolojia ya Dar (DIT) zinazopelekea ishindwe kuchangia kikamilifu Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Tanzania

    Summarise kidogo, nilisoma nikasinzia. Halafu Hivi tatizo ni mtu mmoja au jamii nzima ya taasisi hiyo. Mbona wenzenu kama ATC na NIT wanapendeza kila kukicha. Ila jamaa naye ni Nunda, uchafu huu?
  6. Communist

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Hawa wanafunzi wanaliwa sana na kunguni? Sijui unawasemea hao? Tena sasa maabara hazipo, na hata zile za computer za professor Kondoro zimekufa. Wanafunzi wanalia.
  7. Communist

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Utafiti unaonyesha 99% ya haya ni kweli. Ila kuna watu kama watatu hivi ni maswaiba wake sana, na wote amewapa nafasi kubwa kuliko uwezo wao, hao hawaelewanani na wenzao.
  8. Communist

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Naona kamati nyingi zomeundwa , tuwaache wamalize matatiza yao wenyewe.
  9. Communist

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Tena ngoja nitafiti zaidi, maana naona hata vyou kama NIT sasa vimeshaipiku DIT ya toka 1958. Nakule kuna kiongozi ambaya ni tunda la DIT. Huyu wa kutoka huko kwao, naona kama anataka kuua hicho chuo.
Back
Top Bottom