Kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya 2022 kuna dalili wazi kama kawaida kwa siasa ya Kenya kutakuwa na mabadiliko ya viongozi wawili Raila Odinga na William Ruto kubadilishana vyama. Jana nyumbani kwake Karen jijini Nairobi William Ruto alifanya mazungumzo na viongozi wa NASA kutoka Magharibi ya...
Kuna dalili kubwa kwa bara la Afrika kuondoka kwenye mfumo wa kidemokrasia na kurudi mfumo wa chama kimoja .
Kiongozi wa chama cha upinzani Senegal Khalifa Sali amefungwa jela miaka 5 kwa kesi iliyofunguliwa dhidi yake ya kutakasisha fedha akiwa Meya wa Dakar, huyu kiongozi wa upinzani ndio...
Watanzania hatutaki ndege tunataka amani na upendo. Msigwa usifikiri ujio wa ndege uta divert akili za watanzania kuwasahau viongozi na wabunge wa Upinzani waliopo jela.
Freedom is coming.
Hii miradi ya standard gauge railway itatugharimu sana.
Waziri makame Mbarawa ajibu hizi tuhuma hizi pesa zipo wapi. Haiwezekani kuona fedha za walipa kodi zikipotea.
Mkuu wafanyabiashara wengi wakubwa waliingia kwenye siasa ili kunufaika na ukwepaji kodi. Sasa International Companies kama Total, BP, nk zimerudi kufanya biashara hapa Tanzania na zinalipa kodi vizuri sana. Kampuni kama MOIL ilinufaika sana kwenye kukwepa kodi kwahiyo ile biashara ya ujanja...
Taifa hili haliendeshwi kwa mjibu wa Dini yeyote ni vizuri Bakwata waendelee kuwa kimya na kuacha taasisi zingine zilizoathirika kwa kiasi kikubwa na utendaji mzuri wa Rais Magufuli walalamike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.