Recent content by Commander

  1. Commander

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Aliyoshindwa kuyamaliza Dr. Slaa ni yapi hayo,naona wewe ndiye uliyekurupuka...
  2. Commander

    Dr Shein amtolea uvivu Rais Mstaafu Karume!

    That's very true Dr. Slaa!
  3. Commander

    Karipio la J.K.Nyerere 1965 dhidi ya USA na Karibisho la J.M.K dhidi ya USA 2013

    Waliobaki wote ni wenda wazimu na ndo maana wankuwa mizigo kwa serikali hii...viongozi wengi wa serikali ya chama cha mapinduzi ni bogus,natamani mwal.asingetutoka mapema hivyo jamani,je,wako wapi akina mwalimu kama Nyerere?pinda huwaanjisifu tu kuwa kafanya kazi chini ya mwalimu kwa muda mrefu...
  4. Commander

    Kutoka Jikoni; Kesi ya kesho ya Henry Kileo itakavyokuwa na Mpango wa kumkamata Mbowe

    Hivi hawa mbwa mbona wanahangaika sana jamani?Mwigulu unayasikia hayo,Voda wamekuwa wanatumiika kwenye matukio makubwa mabaya sana,Kumbuka tukio la Lema kutishiwa na RPC wa Arusha,baadae voda wakasema eti hiyo namaba ni nje ya nchi..
  5. Commander

    Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

    Ur thoughts determines a very simple mind of urs brother,biashara zimeharibika sababu ya kupiga watu,watu wamkufa sababu ya police,wewe pia ni mpumbavu kwa kuunga mkono upumbavu,huna akili timamu wewe.
  6. Commander

    Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

    Wewe huna akiri hata moja pia,hivi huoni ni ajabu kwa waziri mkuu kutoa kauli ya kishenzi kama ile,yale Pi..n.da ndo hana adabu kwa watanzania,waziri mkuu anavunja sharia za nchi ndani ya bunge,avunja sharia ya police na majukumu yao kwa taifa..Waziri mkuu hana mamlaka ya kuamuru police wapige...
  7. Commander

    Sawa mh Lema,lakini 2015 ukija tutakuuliza umetufanyia nini watu wa Arusha mjini??

    Hivi Lema ni serikali wewe kijana,hivi mbona vijana mnaakiri fupi mno!? Mbuge hajengi barabara bali anaisimamia serikali,lakini je,serikali ya kikwete inasimamika lakini? sasa hesabu kwamba kwanza umwulize kikwete kuwa zile ahadi vipi?maana aliajhidi mwaka 2006 kuwa umeme baada ya mwwka mmoja...
  8. Commander

    IGP Mwema tueleze waliomwua Mbwambo kinyama kiasi hiki wako wapi?

    Wale watu wote wanaoeneza kwamba eti chadema ndiyo wanaouwa watu wao...hivi kweli mtu mwenye fikira kama hizo anakiri timamu kweli? kama anavyoongea Mwigulu Nchemba,hivi mwigulu unahuruma kwa watanzania na taifa hili kweli,kweli umri wako kila kukicha unaongea utumbo na uchochezi wa kisiasa na...
  9. Commander

    Juliana Shonza, Ludovick walikuwa hivi ndani ya CHADEMA

    Mwanadiwani nina wasiwasi na utimamu wako hata ktk kuendesha maisha yako tu...maana kwa mtu intellectual hawezi toa hoja nyepesi kama hii,kama hamna uwezo wwa kujenga hoja kaka soma vitabu ili uone watu wenye akiri timamu hufanyaje ktk kutoa hoja.
  10. Commander

    Juliana Shonza, Ludovick walikuwa hivi ndani ya CHADEMA

    Hawa hawafai hata kukaribishwa jikon,maana wanaweza kukutilia sumu
  11. Commander

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Hivi Juma Nkamia mnazani anakaili hata moja?yaanai yeye tama zake kuwa kiongozi ni kuwa mwezi mpotoshaji na kufanya mabishano yasio na tija ktk jamii na serikali kwa ujumla wake...he's just bogas MP
  12. Commander

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    Wewe ndo mweupe kabisa,huono hata aibu kutetea huu ujinga....au nawewe ni mojayapo ya mnaotoa kucha wanahabari huh?
  13. Commander

    Mkuu wa Wilaya wa Mbozi, Dr. M. Kadege awa kwenye hali ngumu Wanakijiji cha Mlowo kuvuruga mkutano

    Hivi mwizi atashindwaje kumpa mwenziwe ulaji,kwani yeye Kikwete amechakza vitoto vingapi mpaka leo,anatembea na mabinti kama kajizila...inshort ni kwamba Kadege na Kikwete sawasawa kabisa wote ni malaya wa kutupwa...ila Dr.angaliwe sana hapa mbozi tutzaa na wewe unatufanya hatuna akili...
  14. Commander

    Mkuu wa Wilaya wa Mbozi, Dr. M. Kadege awa kwenye hali ngumu Wanakijiji cha Mlowo kuvuruga mkutano

    Ushauri kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Kadege ameshindwa kuingozi mbozi hasa kwa kutumia mababvu baadala ya diplomasia,hapaa kwetu mlowo imekuwa ni kawaida kupigwa mabomu,maana wamemtuhumu kuwa mbadhilifu,wakati shule zilizop[o hapa mlowo zinahudumiwa na kijiji na maisha yanaenda...
  15. Commander

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Hi hakuona mwenzie mnyika alivyo orodhesha alama alizo pata,haya jamani...haya wewe mwenye kimbelel tueleze na tuoneshe alicho kipata....
Back
Top Bottom