Recent content by Commandant D

  1. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma AMO anaweza kusoma masters zipi?

    Mtu mwenye bachelor ya clinical medicine kwa Tanzania ni equavalent na amo so hawezi kusoma speciality za medicine labda asome masters I think ni ya clinical medicine siipati vzr line speciality nyngne hawezi kusoma
  2. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma AMO anaweza kusoma masters zipi?

    Huwezi kwenda masters mpk uwe na bachelor degree asa amo ana advanced diploma anaendaje kuchukua masters
  3. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    So sad kwa kweli wamepoteza muda mwingi at the end wanarudi nyumbani it pains a lot
  4. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye hii kozi ya Clinical Medicine siku hizi?

    Think explore and then talk maisha hayana formula usimdharau mtu haujuhi background yake Kuna watu ni ma co walikuwa vzr sana o level circumstances tu
  5. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza Martial Art

    Ukitaka ujipanue kimbinu changanya michezo judo,bjj utajifunza pinning technique,strangulation technique ground technique cheza karate jifunze simple technique ambazo utazimaster na utaweza kuzitumia kwa defense na offense mwisho michezo ni mingi ukijifunza jifunze kwa moyo heshimu na kulinda...
  6. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza Martial Art

    Nipo chomboni Chaka huku maisha yng tu outside people yako very limited japo napasha sana
  7. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza Martial Art

    Nilijifunza combat since hata sijaingia chomboni mwl alifundishwa na retired special force pande za pwani huko ni ni moja ya art ambayo ni deadly sana although ngumi sio za kujisifia kila mchezo ni mzuri inatokana umemaster vipi
  8. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mfumo unazingua sana
  9. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Chief maombi ya tamisemi
  10. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Nani amefanikiwa kuchagua mikoa kwenye upande wa afya msaada
  11. Commandant D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mafinga jkt ni 841kj wazi
  12. Commandant D

    JamiiForums Tanzania Anatomy of upper limb

    Bro pathology huwa unapitia Mambo ya cellular adaptation atrophy
  13. Commandant D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ascending infection Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Commandant D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

    tend to determine their offspring
Back
Top Bottom